mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.
Hivi kweli Morogoro town utalinganisha na Udom,Kibaha makao makuu ya mkoa wa Pwani haisogei kwa UDOM.
Tanga,Mwanza na Mbeya,hayana cha maana kuizidi UDOM zaidi ya population.
Kama ishu ni wingi wa watu hata Vatican City inawatu wachache kuliko UDOM.tena eneo la UDOM kijiografia ni zaidi ya mara kumi ya Vatcan city.
Ukienda USA ni kawaida kukuta state moja ina cities zaidi ya 2 na city zingine zina less than 1 milion habitant.why not UDOM.
Kuanzia Makulu mpaka N g'ong'ona ukiweka na jengo la Chimwaga na Hospitali ya Mkapa na yale magorofa ya campus,inatosha kabisa kuwa jiji,boom la wanafunzi na mishahara ya watumishi wote wa UDOM kwa mwaka itoshe kusema ni fedha nyingi sana,UDOM pananukia hela tu.