Muda umefika UDOM ipewe hadhi ya Jiji (city). Dodoma iwe na majiji mawili

Mimi nacheeka washamba wanavyobisha,nimezaliwa muhimbili,nimekaa new york miaka kumi
 
Dodoma kwanza haina hadhi ya kuwa jiji. na UDOM haina hata hadhi ya kua mji..

Kwa wanaoishi dodoma au waliowahi kukaa dodoma watathibitisha hili
 
Jiji lilipaswa kuwa na ma-UDOM kama kumi hivi.....sasa ukimtenga huyo mmoja hapo Dodoma hamna jiji...!
 
Unachekesha mno, bila shaka utakuwa ni first year.

Ukianza kupambania course work kisawasaa utaachaa.

By the way, umeanzisha mada ambayo ipo juu ya uwezo wako

Kwa hiyo unataka chuo kikifungwa mwezi wa saba, jiji liwe halina watu?
Chekechea moro, primary, moro, secondary moro both o level na A level kama alifika lakini.
Chuo UDOM kwanini asishangae na kuliita jiji?
 
Ili sehemu kuwa jiji kuna vigezo vinavyopimwa ukuachana na sababu za kisiasa, je unavijua hivyo vigezo?

Kwaiyo unapendekeza liitwe jiji la Udom kwasababu ya wingi wa watu na majengo ya taasisi, jiji la chamwino, jiji la mtumba ok ok! Tuwe na subra tutafika tu huko.
 
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.

Hivi kweli Morogoro town utalinganisha na Udom,Kibaha makao makuu ya mkoa wa Pwani haisogei kwa UDOM.
Tanga,Mwanza na Mbeya,hayana cha maana kuizidi UDOM zaidi ya population.

Kama ishu ni wingi wa watu hata Vatican City inawatu wachache kuliko UDOM.tena eneo la UDOM kijiografia ni zaidi ya mara kumi ya Vatcan city.

Ukienda USA ni kawaida kukuta state moja ina cities zaidi ya 2 na city zingine zina less than 1 milion habitant.why not UDOM.

Kuanzia Makulu mpaka N g'ong'ona ukiweka na jengo la Chimwaga na Hospitali ya Mkapa na yale magorofa ya campus,inatosha kabisa kuwa jiji,boom la wanafunzi na mishahara ya watumishi wote wa UDOM kwa mwaka itoshe kusema ni fedha nyingi sana,UDOM pananukia hela tu.
Acha ushamba kenge wewe soma kwanza akili zitakuja, wewe unataka liwe jiji chuo kikifungwa na jiji linakufa eti.
Dodoma yenyewe haina hadhi ya jiji ndio iwe Udom. GDP ya Mbeya sio chini ya trillion 8 ndio useme inazidiwa na Udom kwa ajili ya hivyo vi elf 10 vyenu mnavyopewa na loans bord.Wewe unadhani jiji ni ni hivyo vi hostel vyenu? kaka kwa kutulia mwanapori mmoja wewe.
 
We ni fala sana,unaijua vatican city,nakuletea majiji madogo zaidi nchini marekani ambako ninapajua kama ninavyoijua Tanzania
 
Jamani badala ya kumkejeli, mngemjibu kwa hoja ili wengine nao wakaelimika kwa nini UDOM haikustahili kuwa jiji…
Mimi namaliza kwa kumdokeza hivi: UDOM bado inanyonya mapato toka sehemu zingine na haijaweza kukusanya mapato kufikia kigezo cha kuwa jiji ukilinganisha na Dodoma jiji au majiji aliyoyataja hapo kwenye uzi
.
.
.
Mali dume za uwekezaji kama hoteli, viwanda, vituo vya mafuta, depot, n.k, fuatana nami BongoLocate kwa updates zaidi
 
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.

Hivi kweli Morogoro town utalinganisha na Udom,Kibaha makao makuu ya mkoa wa Pwani haisogei kwa UDOM.
Tanga,Mwanza na Mbeya,hayana cha maana kuizidi UDOM zaidi ya population.

Kama ishu ni wingi wa watu hata Vatican City inawatu wachache kuliko UDOM.tena eneo la UDOM kijiografia ni zaidi ya mara kumi ya Vatcan city.

Ukienda USA ni kawaida kukuta state moja ina cities zaidi ya 2 na city zingine zina less than 1 milion habitant.why not UDOM.

Kuanzia Makulu mpaka N g'ong'ona ukiweka na jengo la Chimwaga na Hospitali ya Mkapa na yale magorofa ya campus,inatosha kabisa kuwa jiji,boom la wanafunzi na mishahara ya watumishi wote wa UDOM kwa mwaka itoshe kusema ni fedha nyingi sana,UDOM pananukia hela tu.
Hiyo ni High School iliyochangamka, watu wanaingia hapo kwa maksi za kuokoteza
 
Dar Kuna mradi inaitwa dege unamajengo mengi zaidi ya udom napo pawe jiji? Kawe ya sasa hivi Kuna mradi unaitwa 711 Kuna mwingine tena wa samia nayo iwe jiji?
 
Kama hujawahi kufika UDOM unaweza kunibishia,ila kana umefika utakubaliana bsni kuwa Udom peke yake inazidi CBD za mikoa mingi kwa majengo na mzunguko wa hela pamoja na miundombinu.

Hivi kweli Morogoro town utalinganisha na Udom,Kibaha makao makuu ya mkoa wa Pwani haisogei kwa UDOM.
Tanga,Mwanza na Mbeya,hayana cha maana kuizidi UDOM zaidi ya population.

Kama ishu ni wingi wa watu hata Vatican City inawatu wachache kuliko UDOM.tena eneo la UDOM kijiografia ni zaidi ya mara kumi ya Vatcan city.

Ukienda USA ni kawaida kukuta state moja ina cities zaidi ya 2 na city zingine zina less than 1 milion habitant.why not UDOM.

Kuanzia Makulu mpaka N g'ong'ona ukiweka na jengo la Chimwaga na Hospitali ya Mkapa na yale magorofa ya campus,inatosha kabisa kuwa jiji,boom la wanafunzi na mishahara ya watumishi wote wa UDOM kwa mwaka itoshe kusema ni fedha nyingi sana,UDOM pananukia hela tu.
Akili zero
 
Back
Top Bottom