Simba wao wanajifunza hayaNa yule Makame bui kitanta ni zao la wanainji alivokua simba alikua timamu alivokwenda yanga sasa ...
Anyway kabwili ni zao la wapi vile
Watapinga na hili[emoji16][emoji16]Simba wao wanajifunza hayaView attachment 2465747
Hako kajamaa wakati kanachezea zanzibar heroes kabla hakajaja bara kalikuwa kachezaji kazuri kuliko sasa.Yaaaah mkuu.....rejea barua ya kuomba kumleta pale tanga
MpiraniUmaarufu kameupatia wap????
Beno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kablaIla Uto..industry?? Ukapimwe akili.
Ukitumia akili vizuri utajua hicho kiwanda chenu ni fake. Sababu asilimia kubwa wachezaji wanaokuwa tegemeo kwenu wakihamia Simba au timu nyingine wanakuwa magalasa(mf. Kavumbagu, Ngoma n.k). Mchezaji aliepikika vizuri anatakiwa ashine popote.Beno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
Real Madrid huwa haitolewi kizembe Champions League hata kama mwaka huo itakuwa mbovu kwenye La Liga. Yanga inatabirika kabisa, kwenye CAF CL mara ya mwisho kushiriki makundi sijui ni liniUnajua kwnn ....% kubwa ya wachezaji wanapenda kucheza real Madrid..????????
Jibu ni kuwa real Madrid pia inasaidia ku brand wachezaji
Kuna kipindi hata Mtibwa ilikuwa inajisifia hivyo hivyo lakini hakuna faida waliyopataBeno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
Hata uji unanywewa kombeni.Bila Shaka kwenye timu ya makombe .... Yanga
Kolo ..hawapendi kuchimba vitu in deepBeno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
Wachezaji ni wachache .....huwezi justify your findings...Ukitumia akili vizuri utajua hicho kiwanda chenu ni fake. Sababu asilimia kubwa wachezaji wanaokuwa tegemeo kwenu wakihamia Simba au timu nyingine wanakuwa magalasa(mf. Kavumbagu, Ngoma n.k). Mchezaji aliepikika vizuri anatakiwa ashine popote.
Asilimia kubwa wachezaji wanaotoka Simba na kuhamia yanga wanakuwa tegemeo. Nakukumbusha hawa wachezaji waliotoka Simba na kuhamia huko kwenu na kuwa tegemeo kubwa, Tambwe, Yondani, Kaseja, Hassan Kessy, Okwi n.k
Kwa akili ya kawaida kiwanda ni kipi hapo?
Umenena vyema, Tanzania, sio nje ya nchiLkn Yanga ..inapata faida ie ndo timu yenye mafanikio makubwa tz
Sasa Wewe umejustify Kwa findings ipi yeye uwingi?Wachezaji ni wachache .....huwezi justify your findings...