Muda umeongea: Yanga ndio Industry ya mpira hapa nchini

Na yule Makame bui kitanta ni zao la wanainji alivokua simba alikua timamu alivokwenda yanga sasa ...
Anyway kabwili ni zao la wapi vile
Simba wao wanajifunza haya
JamiiForums-912427097_480x360.jpg
 
Ila Uto..industry?? Ukapimwe akili.
Beno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
 
Ukitumia akili vizuri utajua hicho kiwanda chenu ni fake. Sababu asilimia kubwa wachezaji wanaokuwa tegemeo kwenu wakihamia Simba au timu nyingine wanakuwa magalasa(mf. Kavumbagu, Ngoma n.k). Mchezaji aliepikika vizuri anatakiwa ashine popote.

Asilimia kubwa wachezaji wanaotoka Simba na kuhamia yanga wanakuwa tegemeo. Nakukumbusha hawa wachezaji waliotoka Simba na kuhamia huko kwenu na kuwa tegemeo kubwa, Tambwe, Yondani, Kaseja, Hassan Kessy, Okwi n.k

Kwa akili ya kawaida kiwanda ni kipi hapo?
 
Unajua kwnn ....% kubwa ya wachezaji wanapenda kucheza real Madrid..????????
Jibu ni kuwa real Madrid pia inasaidia ku brand wachezaji
Real Madrid huwa haitolewi kizembe Champions League hata kama mwaka huo itakuwa mbovu kwenye La Liga. Yanga inatabirika kabisa, kwenye CAF CL mara ya mwisho kushiriki makundi sijui ni lini
 
Beno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
Kuna kipindi hata Mtibwa ilikuwa inajisifia hivyo hivyo lakini hakuna faida waliyopata
 
Beno Kakolanya, Gadiel Michael ( mnayemtumia kichawi sasa hivi), Saido.... Walipita kiwandani Jangwani! Ajibu alifubazwa simba akaenda kiwandani Yanga akatengenezwa kisha akarudi Bunju kuuwa mpira wake! Kina Niyonzima, Kiiza unajua walipita wapi kabla
Kolo ..hawapendi kuchimba vitu in deep
 
Ukitumia akili vizuri utajua hicho kiwanda chenu ni fake. Sababu asilimia kubwa wachezaji wanaokuwa tegemeo kwenu wakihamia Simba au timu nyingine wanakuwa magalasa(mf. Kavumbagu, Ngoma n.k). Mchezaji aliepikika vizuri anatakiwa ashine popote.

Asilimia kubwa wachezaji wanaotoka Simba na kuhamia yanga wanakuwa tegemeo. Nakukumbusha hawa wachezaji waliotoka Simba na kuhamia huko kwenu na kuwa tegemeo kubwa, Tambwe, Yondani, Kaseja, Hassan Kessy, Okwi n.k

Kwa akili ya kawaida kiwanda ni kipi hapo?
Wachezaji ni wachache .....huwezi justify your findings...
 
Real Madrid huwa haitolewi kizembe Champions League hata kama mwaka huo itakuwa mbovu kwenye La Liga. Yanga inatabirika kabisa, kwenye CAF CL mara ya mwisho kushiriki makundi sijui ni lini
Lkn nadhani umepatA. Concept??
 
Back
Top Bottom