APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Ndio mkuu nimepiga hesabu ya ela nilizotumia kwenye sterehe nimejikuta napiga hesabu hizoNaona unaapproximate tu kama jina lako!
Kwahiyo huna akiba?Save hela ufe waje watumie wajinga wajinga sifanyi huo ujinga
Kweli kiongozi miezi imekata napiga hesabu ya pesa nilizopoteza kwenye starehe naona nimefanya uwaki sanaMajuto ni babu sio mjukuu tena.
Mkuu saving inakusaidia pale unapokuwa na shidah ya harakaSave hela ufe waje watumie wajinga wajinga sifanyi huo ujinga
Shida ikija ya 15m utatoa wapi pesa? Na shida hazina mwisho, zikiongozana?Mkuu saving inakusaidia pale unapokuwa na shidah ya haraka
Save kwa maishaShida ikija ya 15m utatoa wapi pesa? Na shida hazina mwisho, zikiongozana?
Save kufanya maendeleo sio save kwa ajili ya shida...!
Jua una save kwa malengo... wewe kama huna malengo una save bure