Muda unakimbia mbio...!

Muda unakimbia mbio...!

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Kama ningekuwa na save 5000 kila siku sasa hivi ningekuwa na 1500000, na je ningesavu 10000 kila siku sasa hivi ningekuwa na 3000000.

Ningesave 20000 kila siku ningekuwa na 6000000, mbususu, pombe na starehe zimekula pesa zangu.
 
Shida ikija ya 15m utatoa wapi pesa? Na shida hazina mwisho, zikiongozana?

Save kufanya maendeleo sio save kwa ajili ya shida...!

Jua una save kwa malengo... wewe kama huna malengo una save bure
Save kwa maisha
 
Back
Top Bottom