Muda utakaeweza kuzoeana na baba yako

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,309
Reaction score
1,270
[emoji23][emoji23][emoji23]
*Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,*
*Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta*
[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Muda pekee unaoweza kumzoea baba ako ni pale unapomfundisha kutumia smartphone,*
*Wanakuaga wapole yan unaweza kumtuma hata maji ya kunywa akaleta*
‍♂ ‍♂ ‍♂
POLE SANA MKUU INA ELEKEA MZEE WAKO NI MKALI SANA KIASI UMETAMANI UMTUME MAJI PALE UNAPO MFUNDISHA KUTUMIA SMARTPHONE!
Marehemu mpendwa baba yangu alikuwa kama rafiki kwangu muda wote.
 
POLE SANA MKUU INA ELEKEA MZEE WAKO NI MKALI SANA KIASI UMETAMANI UMTUME MAJI PALE UNAPO MFUNDISHA KUTUMIA SMARTPHONE!
Marehemu mpendwa baba yangu alikuwa kama rafiki kwangu muda wote.
Ndo maana akafa maana hana sifa zakua baba, baba atatumwaje maji nawatoto
 
Ungeongea hiki kitu comedy central tungesema ni dark humour. Ila humu tunasema ni ujinga, upunguani na kutoonesha kujali. Kumbavu wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…