Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
FrustrationsMda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo ambayo nashindwa kuelewa chanzo ni nn. Takribani wiki sasa na awali nilichikulia kawaida ila sasa inaniogopesha. Nilikuwa napiga mwayo mmoja ila sasa hadi miwili.
SijakuelewaHamila iyo [emoji38]
Sio ila nikweli naomba ushauriFrustrations