Muda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo

Muda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Muda wa chakula hasa mchana na jioni huwa napiga sana miayo ambayo nashindwa kuelewa chanzo chake.

Hii hali inanitokea ni Takribani wiki sasa na awali nilichukulia kawaida ila sasa inaniogopesha. Nilikuwa napiga mwayo mmoja ila sasa hadi miwili.
 
Maruhani hayo mkuu, jaribu kuchoma udi au ubani uone kama hautahisi hali tofauti.

Ikiwa miayo itaongezeka ina maana una maruhani!
 
Sawa ila ubani ni moja ya vitu pendwa vya hao viumbe
 
Wengine husema huenda sukari yako imeshuka,cna uhakika lakin ni habar nilizisikia mtaan
 
Back
Top Bottom