Zoezi linasuasua Hadi aibu!
Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba.
Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi Hilo. Nikama wamesusa au wamekata tamaa.
Uzuri ni kuwa wenye dhamana wamekiri zoezi kusuasua. Na japo hawajatoa idadi ya waliojiandikisha, lakini ni wazi kwamba ni Wachache.
Je, wataacha hivi hivi liende au wataongeza muda.
Bila kuongeza muda bila shaka zoezi Zima litakuwa aibu ya mwaka. Lakini natafakari kuwa hata wakiongeza muda, je wataleta jipya Gani litakalowafanya watu wajitokeze?