Muda wa kujisafisha na Ufisadi: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi, elimu, afya nk, na hiyo inatokana na wito alionao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na si vinginevyo.

Lugumi ameeleza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Desemba 25.2024 alipokutana na watoto hao mtaa wa Msufini, wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya kushirikinao dua na kisomo maalum sambamba na kushirikinao chakula cha pamoja alichokiandaa kwa ajili yao

Sambamba na hilo, katika kuboresha makazi yao Lugumi amesema kwa sasa anajenga majengo sita (6) ya ghorofa huku malengo yakiwa ni kujenga ghorofa nane (8) kwa ajili ya watoto hao, kwenye maeneo tofauti ya jiji hilo, ambapo jengo moja kati ya hayo linajengwa eneo hilo la Msufini

"Hii ni nyumba yao (jengo la ghorofa), nyumba kama hizi ziko sita (6) lakini tumeanzia hapa kwa sababu nyumba hii iko mbioni kumalizika, chakula tutakula na wao hapa, na wenyewe wameweza kuwa na furaha kuona sehemu yao, kila kituo kinatarajiwa hakitazidi kukaa watoto 100, unaona nyumba kama hii ni watoto 100 tu na kwa namna Mungu anavyonijaalia nitazidi kuongeza, kwa sasa tumepanga nyumba kama tatu na nyingine tumenunua lakini bado hazitoshi" -Lugumi

Aidha, mfanyabiashara huyo ametoa wito kwa wafanyabiashara na wadau wengine kujitokeza kuunga mkono jitihada za serikali za kuhakikisha wanawasaidia watoto yatima na wale wanaoishi mazingira hatarishi ambao ni wengi pia kwa jiji la Dar es Salaam
 
Wakuu,

View attachment 3184750

Huyu ana biashara gani?
 
Serikali hasa kupitia wizara ya Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kusimamia ili kuepusha hao watoto kuja kuwa wahanga wa kuvunwa viuongo au kuingia kwenye biashara ya kusafirisha binaadamu. Tunaelewa nia nzuri ya Mh. Lugumi ila inawezekana anawekeza kwa lengo la kuja kuvuna viungo vya hao yatima ili apate mabillion zaidi. Kinachonistua ni ile kujielekeza kwa dini ya kiislamu zaidi aonekane mtakatifu na akiguswa iwe uislamu unahujumiwa kiasi kwamba mambo mengi yawe siri, na hatoruhusu watu kuingia na kukagua kwa sababu ya udini. Nadhani anapaswa kuikabidhi hiyo miradi iendeshwe na serikali kwa uwazi kama kweli hana nia ovu hapo baadaye. Mi sina kabisa na imani naye kuhusu hili jambo naona anatengeneza mazingira ya kuja kufanya mass human organ harvesting, na ni hatari sana kwa taifa.
 
Afadhali mafisadi kama hao wanaorudisha sehemu kidogo kwa malofa wanaowaibia kuliko yale yanayoenda kuficha mabilioni yao yote Ulaya.
 
Nyumban kwao usukuman hata shuka za kujifunika hawana

Aache Sanaa

Watoto wa mitaan wako posta hata pa kulala hawana wanalala kwenye mitaro na mifereji kariakoo ndo usisieme, alafu yeye anakuja kutuletea ngojera zake hapa

Tunayakumbuka sana ya shekh chonji kila siku kutembelea wagonjwa kumbe muuza madawa mkubwa
 
Back
Top Bottom