Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 27
- 76
Mtume Boniface Mwamposa amezungumzia kitendo cha Mfanyabiashara Said Lugumi @lugumisaidi kujenga maghorofa matano kwa ajili ya Watoto yatima.
Soma Pia: Muda wa kujisafisha: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar
“Mimi nampongeza niliona kwenye mitandao, hatakiwi kuvunjwa moyo, ni jambo jema limefanyika, ndani yake kuna roho ya kumcha MUNGU” Mwamposa
View: https://youtu.be/Nmh0-qMBJTw?si=aXr1FAHBOeh0_7EK