Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 27
- 76
Mtume Boniface Mwamposa amezungumzia kitendo cha Mfanyabiashara Said Lugumi @lugumisaidi kujenga maghorofa matano kwa ajili ya Watoto yatima.
“Mimi nampongeza niliona kwenye mitandao, hatakiwi kuvunjwa moyo, ni jambo jema limefanyika, ndani yake kuna roho ya kumcha MUNGU” Mwamposa
View: https://youtu.be/Nmh0-qMBJTw?si=aXr1FAHBOeh0_7EK

Atusaidie kujenga vyoo vya mkesha Kawe“Mimi nampongeza niliona kwenye mitandao, hatakiwi kuvunjwa moyo, ni jambo jema limefanyika, ndani yake kuna roho ya kumcha MUNGU” Mwamposa
Ànajua Lugumi anafanya biashara gani? Atakuwa kàfàñya kitu pale madhabahuni,Mtume Boniface Mwamposa amezungumzia kitendo cha Mfanyabiashara Said Lugumi @lugumisaidi kujenga maghorofa matano kwa ajili ya Watoto yatima.
Soma Pia: Muda wa kujisafisha: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar
“Mimi nampongeza niliona kwenye mitandao, hatakiwi kuvunjwa moyo, ni jambo jema limefanyika, ndani yake kuna roho ya kumcha MUNGU” Mwamposa
View: https://youtu.be/Nmh0-qMBJTw?si=aXr1FAHBOeh0_7EK
Said Mwema ndio sterling wa kila kitu hapa, deals zilianzia kwa kampuni ya Lugumi kupewa tender ya ku supply vifaa vya kiusalama kwa Jeshi la Polisi.Mtume Boniface Mwamposa amezungumzia kitendo cha Mfanyabiashara Said Lugumi @lugumisaidi kujenga maghorofa matano kwa ajili ya Watoto yatima.