Umepata mkopo kwanza? Au unafanya risechi kwanza ndio uanze shule?
Dogo nenda kawaulize viongozi wako wa dini!!!Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.
masaa 9 kwa bigginer sio mbaya kuanza nayo
Chuo huko China, kuna sehemu maalum imetengwa kwaajili ya mafundisho hayo, wanaingia wale waliofunga ndoa tu!!Teh.. unataka ukifaham iweje? Hapa hakuna wataalam wa kujamiiana kwani hakuna chuo kinachofundisha fani hiyo. Pole
Jamani si inategemea kiuno kinakatwaje au
Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.
ID yako nzuri. Lini mnafungua shule?