Muda wa kumaliza tendo la ndoa

Muda wa kumaliza tendo la ndoa

MPEPE

Senior Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
155
Reaction score
65
Habari wanajamvi,

Naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa .

Je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake, mwingne dk 30, wengne dk 4,mara dk 16...n.k.

Naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake.

Nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: itv
Umepata mkopo kwanza? Au unafanya risechi kwanza ndio uanze shule?
 
Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.
Dogo nenda kawaulize viongozi wako wa dini!!!
 
Kwa beginner kama wewe dakika 2 zinatosha , wale malegends hadi dakika 45...
 
Muda wa kumaliza tendo la ndoa ni pale mkeo atakapokuwa bibi kizee na wewe ukiwa babu kizee. Hili ndiyo jibu sahihi kwa swali lako.
 
Teh.. unataka ukifaham iweje? Hapa hakuna wataalam wa kujamiiana kwani hakuna chuo kinachofundisha fani hiyo. Pole
 
Teh.. unataka ukifaham iweje? Hapa hakuna wataalam wa kujamiiana kwani hakuna chuo kinachofundisha fani hiyo. Pole
Chuo huko China, kuna sehemu maalum imetengwa kwaajili ya mafundisho hayo, wanaingia wale waliofunga ndoa tu!!
 
Masaa mawili dk 57 & sec 03 ndo jibu sahihi DOGO km huamini kabake mbuzi
 
Habari wanajamvi,naomba kwa wale wataalamu wa masuala ya kujamiiana wanisaidie kunielemisha kuhusu muda unaotakiwa kuchukua unapofanya tendo la ndoa na je imeandikwa wapi na sababu zake ni nini? Maana kila mtu anaongea vyake,mwingne dak 30,wengne dak 4,mara dak 16...n.k naomba nipate muda elekezi kitaalamu na sababu zake. Nawasilisha.

ID yako nzuri. Lini mnafungua shule?
 
Dakika moja, ili uwahi kujiandaa na shule.
 
ID yako nzuri. Lini mnafungua shule?

Mpepe Ni bhangi, nasikiaga vijana wakiita hivo.

Vuta bhangi kampande demu wako.. Ukishuka kabla ya masaa mawili wewe sio kidume.

"Mchana unayavuta Mandumu, Shemeji usiku yanamkuta Magumu" -Niki Wa Pili, Baba swalehee.
 
Back
Top Bottom