πππUmeshachukua fomu, kuijaza na kuirejesha? Mapenzi wapelekee akina stunter, daby, sent heaven kule mmu, hapa tuletee mbinu za kumteka jiwe aamke vizuri apitishe majina yetu tukale mema ya nchi mjengoni.
Fomu tumechukua na hata kama tuko 8000 lkn na mapenzi tunafanyaUmeshachukua fomu, kuijaza na kuirejesha? Mapenzi wapelekee akina stunter, daby, sent heaven kule mmu, hapa tuletee mbinu za kumteka jiwe aamke vizuri apitishe majina yetu tukale mema ya nchi mjengoni.
Ni kweli tunafanya, ila tunayafanyia mmu sio jukwaa la siasaFomu tumechukua na hata kama tuko 8000 lkn na mapenzi tunafanya
Tunajaribu kupunguza stress kwa jukwaa hiliNi kweli tunafanya, ila tunayafanyia mmu sio jukwaa la siasa
BravoTunajaribu kupunguza stress kwa jukwaa hili
πππNaona mmeanza kutumia mbinu za kichawi sasa..!
We kesha ila jua kuna mabaharia asubuhi tu ikimnunulia supu kwisha habari..
Ndo na mimi nimeshangaa. Labda kama bado ni teenager mwenzetuNiache kulala nisubiri saa 4 usiku nimpigie simu?
Hayo mambo nilifanya ENZI za baleghe