Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ngoja nifuatilie namm kujua zaidi hapa nimepata msingiAkasome Kanuni tena the lastest ambayo imeweka mpaka torch tunazopigwa nazo barabarani. Sheria mama yenyewe imesema tu lazima uwe na leseni lakini kanuni imeenda zaidi ya hapo.
Mkuu huyo nafikiri ni mwanafunzi wa sheria hajui kuwa kuna kanuni pia!Hujatembea na leseni gari unaipeleka kituoni mpaka ulete leseni, tena utawekwa na mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kanuni mkuu!Hizo sheria ni za kitabuni. Hapa Bongo polisi he is alyways right.
Halafu mahakama zetu ni analogue hazina muda wa kusikiliza kesi kwa haraka. Huna leseni ni faini. Iwe ni robo saa, siku nzima au mwaka.
Hapa nchini polisi ndio wanatafsiri sheria, ukienda mahakamani utatoa rushwa uliyokwepa kuitoa barabarani.
Tunashukuru kwa kutuonyesha sheria inasemaje, ila ujue kuna sheria na uhalisia.
Kuna kanuni mkuu!
mkuu kuna baadhi ya vitu vingi huvijui katika kuchukuliwa lesseni, inaweza kuwa anachukua ili aangalie je gari unaloendesha linaendana na lesseni yako? pili je unataka kuandikiwa kosa je unaandikiwa na lesseni ipi? kwahiyo kwenda kuchukua lesseni si kuwa wakati wote ndo unakuwa salama,Sio lazima uende kwa huyo askari ni kama zamani tu anakuandikia notification unaenda kuonesha kituo chochote na usipofika ndani ya muda ndio unahesabiwa kosa na utapaswa kulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
swadakta mkuu na ndo maana wanasheria wanajipigiaga tuu kwa vipengele kukinzana na mara zote kilamtu atataka kuvutia kwake kwa kile kipengele kimbebacho ila mwaisho wa siku kubeba lesseni ni muhimu sana maana hata ukiambiwa kapaki gari kituoni ukachukue lesseni ila jua wakati uliomba lesseni labda ulitaka andikiwa kosa so kwenda kuileta imekuchelewesha ilihali kosa liko pale paleMimi nashauri sheria hii ifanyiwe marekebisho, ili iendane na wakati na uhalisia. 'Kupewa siku tatu kudhibitisha kuwa una leseni inafanya mazingira ya ya kazi ya traffic kuwa ngumu'. Pia hicho kipengere cha sheria kinachotoa siku tatu kina kinzana na kipengere kingine kinachohimiza dereva kuwa na leseni ya udereva wakati wote anapoendesha chombo cha moto!
Yangu ni hayo!
na huko kwenye kanuni ndo inasema lazima dereva awe na leseni wakati anaendeshaAkasome Kanuni tena the lastest ambayo imeweka mpaka torch tunazopigwa nazo barabarani. Sheria mama yenyewe imesema tu lazima uwe na leseni lakini kanuni imeenda zaidi ya hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye jamhuri haujakosea ..Umwambie askari nitakuletea leseni serious? Labda Ulaya huko au Kenya. Bongo mzee kuna kakosa kao cha kifala cha kwamba umeizuia jamhuri kufanya kazi yake
Waulize walioenda kudai mafao yao baada ya Rais kutoa maelekezo kuwa utaratibu mpya usitishwe uendelee wa zamani. Wahusika wanasema hawana hayo maelekezo .Kwa hali ya sasa, jitahidi utembee na leseni, maana yanayoweza kukukuta si madogo. Mpaka sharia ije ikuokoe, si leo.
Beba uzi wako ukawatunishie misuli alafu utuletee majibu hapa ila kumbuka kujua kipengele kimoja cha sheria bado sio msaada muulize aliyeandika uzi huu sheria hazina mbadala "Exception "?Uzi huu lazima niubebe niwatunishie kifua askari siku nikidakwa bila leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
nimemuona mng'ato anaendesha guta!!Una gari?
Mwambie atume salamu kwa watu watatu.nimemuona mng'ato anaendesha guta!!
Ha haaaa! Amemgomea mtangazaji wa zamu anasema yeye anataka kutuma salamu kwa watu saba sababu anadai ni dereva wa B-52! Yeye ni special kuliko wenzake!Mwambie atume salamu kwa watu watatu.