Inategemea kajifungua kwa namna gani.
1. Kama kwa operation basi mpaka mshono upone na asiwe na dalili ya maumivu, cause kama unavyojua hiyo shughuli ni ya fujo sana.
2. Kama alipojifungua aliongezwa njia (kwa maana mtoto alikua mkubwa kuliko njia) inabidi eneo husika lipone kabisaaa. Na sababu hua for two weeks kunakua kumepona mda advisable ni miezi miwili.
3. Kama kajifungua salama, ni maelewano yenu tu lakini ni lazima awe amemaliza walau wiki nne, kikubwa kua very gentle na bahati mbaya yako hapa kwa baadhi ya wanawake by the time umefunga goli kama unavuta mda anaweza kukupita mawili.
ZINGATIA siku za mwanzo kua gentle, mnaweza rudi vurugu zenu zote walau after five to six months.