Muda wa waheshimiwa Kuna mahindi, kupanda public service vehicles, kununua bidhaa magengeni na mama ntilie

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Wapiga kura tuchague viongozi watakaotutumikia kwa kuweka fursa za kutuwezesha sio sanaa na maigizo wakati wakiwa kwenye viyoyozi hawafanyi hivo,kura Yako ni ya thamani kwa MAENDELEO yako

2025 tukatae hadaaa ya namna yeyote
Uzembe wako na tamaa Yako ndio maumivu Yako,usipokee rushwa kwa hadaa ya kumpigia kura mtoa rushwa

#2025kurayanguthamaniyangu#
 
Tatizo watanzania wana sahau haraka kama kuku. Kisa mheshimiwa kaanza kula kwa maman'tilie siku chache Kabla ya uchaguzi tunawapa kura.

WATANZANIA KUMANYOKO ZETU! 😎.
 
WhatsApp Image 2025-07-01 at 12.01.34 PM.jpeg
 
Tatizo watanzania wana sahau haraka kama kuku. Kisa mheshimiwa kaanza kula kwa maman'tilie siku chache Kabla ya uchaguzi tunawapa kura.

WATANZANIA KUMANYOKO ZETU! 😎.
Wengine tuna wakwe humu ndani,vikao vya familia tunaendaga inbox na tunajuana,punguza jazzzz bar
 
Wapiga kura tuchague viongozi watakaotutumikia kwa kuweka fursa za kutuwezesha sio sanaa na maigizo wakati wakiwa kwenye viyoyozi hawafanyi hivo,kura Yako ni ya thamani kwa MAENDELEO yako

2025 tukatae hadaaa ya namna yeyote
Uzembe wako na tamaa Yako ndio maumivu Yako,usipokee rushwa kwa hadaa ya kumpigia kura mtoa rushwa

#2025kurayanguthamaniyangu#
Screenshot 2025-07-03 at 9.43.23 AM.png
 
Back
Top Bottom