Muda wote nilikuwa najibana ili anione wa maana kumbe bure kabisa

Muda wote nilikuwa najibana ili anione wa maana kumbe bure kabisa

We jamaa boya kweli. Yani mwanamke kanywa Konyagi ndio unaleta mpaka uzi JF? [emoji23][emoji23][emoji23]


Watu tumekaa na wadada wanakunywa cocktail ya Gordons na Campari (chungu kama mzizi wa big G), alafu anapuliza ganja ado ado.
Sarah, Hii cocktail ya Gordon na Campari imeikmbusha mbali sana.
 
Back
Top Bottom