Muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu

Hela anayopata Ibenge kwenye timu ya Taifa ya DRC na AS Vita kwa pamoja ni zaidi 100M
Simba wataweza?
 
Hela anayopata Ibenge kwenye timu ya Taifa ya DRC na AS Vita kwa pamoja ni zaidi 100M
Simba wataweza?
Kama ameweza kufundisha congo national team na as vita atashindwaje kufundisha simba na nt?
 
Kwa kauli ya Msemaji wa Club ya Simba jana Sio iBenge wala Micho bali atatajwa mwingine. Kwani hawa tayari jana mzee wa kuropoka Manara kwataja kwenye press...
 
Hivi wewe jamaa mwenye ID ya Team 666 upo serious na maisha yako kweli?? Kwanini umeamua kuchagua namba hiyo??[emoji44][emoji15]
Cha ajabu kipo wapi nikijiita Kama nikijiita lion [emoji881]haimaanishi ni nitakua lion kweli


ID Kama izi tunazitumia kwasababu ya Serkali Kali sije wakanipa kesi ya uchochezi buree.
 
Bado hajatangazwa huyo Ibenge?
Hela za urithi zina mitihani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…