Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyo mwakalebela wa msimbaziView attachment 1683299
Mwakalebela naona yupo pembeni anasikilizia .....
😱😁😁😂😂👍View attachment 1683299
Mwakalebela naona yupo pembeni anasikilizia .....
😱😁😁😂😂👍View attachment 1683299
Mwakalebela naona yupo pembeni anasikilizia .....
Mwinyi zahera alishaondolewa timu ya taifaHuyu ndo alikua benchi na Mwinyi zahera or...
Hela anayopata Ibenge kwenye timu ya Taifa ya DRC na AS Vita kwa pamoja ni zaidi 100MKuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu.
baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez.
Ibenge (59) kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya Congo DR inayoshiriki michuano ya CHAN 2020 nchini Cameroon.
Lakini pia ni kocha mkuu wa club ya AS Vita inayotarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kundi A February 12 2021 club Bingwa Afrika Kinshasa Congo DR
Penye Nia Pana Njia....usiogope!!Hela anayopata Ibenge kwenye timu ya Taifa ya DRC na AS Vita kwa pamoja ni zaidi 100M
Simba wataweza?
Walikataa kumpa Kishingo 50MPenye Nia Pana Njia....usiogope!!
Hivi wewe jamaa mwenye ID ya Team 666 upo serious na maisha yako kweli?? Kwanini umeamua kuchagua namba hiyo??[emoji44][emoji15]Chenga ya wapi
Kama ameweza kufundisha congo national team na as vita atashindwaje kufundisha simba na nt?Hela anayopata Ibenge kwenye timu ya Taifa ya DRC na AS Vita kwa pamoja ni zaidi 100M
Simba wataweza?
Ibenge ana Corona ndio maana hakuwa kwenye bench la ufundi!Wana msimbazini izo ni tetesi zinazoendelea na jana Ibenge hakuwa kwenye benchi la ufundi wakati congo ikipepetana na Libya.
View attachment 1683111
Kwa kauli ya Msemaji wa Club ya Simba jana Sio iBenge wala Micho bali atatajwa mwingine. Kwani hawa tayari jana mzee wa kuropoka Manara kwataja kwenye press...Kuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu.
baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez.
Ibenge (59) kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya taifa ya Congo DR inayoshiriki michuano ya CHAN 2020 nchini Cameroon.
Lakini pia ni kocha mkuu wa club ya AS Vita inayotarajiwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kundi A February 12 2021 club Bingwa Afrika Kinshasa Congo DR
Simba ina uwezo wa kumlipa 100M kwa mwezi. Iliahindwaje 50M kwa Kishingo ?Kama ameweza kufundisha congo national team na as vita atashindwaje kufundisha simba na nt?
Kwani as vita walikuwa wanampa 100m?Simba ina uwezo wa kumlipa 100M kwa mwezi. Iliahindwaje 50M kwa Kishingo ?
Cha ajabu kipo wapi nikijiita Kama nikijiita lion [emoji881]haimaanishi ni nitakua lion kweliHivi wewe jamaa mwenye ID ya Team 666 upo serious na maisha yako kweli?? Kwanini umeamua kuchagua namba hiyo??[emoji44][emoji15]
labda yuko team 666 kikweli kweli.Hivi wewe jamaa mwenye ID ya Team 666 upo serious na maisha yako kweli?? Kwanini umeamua kuchagua namba hiyo??[emoji44][emoji15]