Acha kudharau Real Madrid!kumfukuza kocha kisa kafungwa na barcelona ni kumuonea tu....chelsea walicheza vizuri sana sema kosa kubwa walilofanya ni kuvaa jrzi nyeupe hvyo barcelona wakasahau kuwa wanacheza na chelsea wakajua wanacheza na madrid wakakandamiza 3 km za santiago...ila wangevaa blue ngoma ingeisha 3-3 barca out
Hahaaaaaaa umenichekesha sana mkuukumfukuza kocha kisa kafungwa na barcelona ni kumuonea tu....chelsea walicheza vizuri sana sema kosa kubwa walilofanya ni kuvaa jrzi nyeupe hvyo barcelona wakasahau kuwa wanacheza na chelsea wakajua wanacheza na madrid wakakandamiza 3 km za santiago...ila wangevaa blue ngoma ingeisha 3-3 barca out