Muda wowote kuanzia sasa Conte atatimuliwa kazi Chelsea

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mabosi wa Chelsea walikawia kumfukuza kazi kocha wao Muitaliano Antonio Conte kwasababu ya ligi ya mabingwa Ulaya mara baada ya kuvurunda kwenye EPL. Sasa huku kwenye Uefa nako ameshaharibu, kwenye ligi wanashika nafasi ya 5, kwa jinsi nimjuavyo Roman Abramovich, pasi na shaka yoyote ile niseme Hasta la Vista Antonio Conte!
 
Mh6MGTL.gif
 
kumfukuza kocha kisa kafungwa na barcelona ni kumuonea tu....chelsea walicheza vizuri sana sema kosa kubwa walilofanya ni kuvaa jrzi nyeupe hvyo barcelona wakasahau kuwa wanacheza na chelsea wakajua wanacheza na madrid wakakandamiza 3 km za santiago...ila wangevaa blue ngoma ingeisha 3-3 barca out
 
Hawezi fukuzwa, ata msimu ujao yeye ndio atakuwa Kocha mkuu
 
kumfukuza kocha kisa kafungwa na barcelona ni kumuonea tu....chelsea walicheza vizuri sana sema kosa kubwa walilofanya ni kuvaa jrzi nyeupe hvyo barcelona wakasahau kuwa wanacheza na chelsea wakajua wanacheza na madrid wakakandamiza 3 km za santiago...ila wangevaa blue ngoma ingeisha 3-3 barca out
Acha kudharau Real Madrid!
 
Hahaaaaaaa umenichekesha sana mkuu
 
Kw kikos hiki hat angekua kocha gan isingekua rahc kunfunga spurs
 
May be
Cos shida ya Chelsea ni technical matter namna ya kuwatumia wachezaji
Hajifunzi matumizi ya mjreruman na British bado si afya, bado hajajua matumizi ya cesc na kante si afya kwa kiungo lkn hajui

Chealsea ni tamu dk 20 za mwanzo lkn n mbovu kuanzia dk ya 30 had ya mwisho.

Hakuna Wa kumshauri haya

Pia sub zake zinachelewa
 
Back
Top Bottom