Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nawaasa tu ndugu zangu kwenye ligi ya NBC huyu bwana ni pacha na lala salama.
Sasa kama ukiona Yanga haijafunga na anaingizwa huyu ujue mtazaa nae mapacha tu.
Huyu kaiokoa sana Yanga hasa pale tunapokuwa tumekata tamaa.
Huyu ni mwona maono wa Yanga pale maelfu ya wana Yanga wanasema tumelala huuu bwana anatuamsha.
Shikamooo mwamba mzee wa simu aka katelephone