Mudathir Yahya Abbas

Mudathir Yahya Abbas

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
kwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele
 
Nimemuwaza sana week hii ....hasa kwenye kuwekeza nadhani anajielewa mpira huisha azam walimtema akabakia kucheza mdondo zbar.....awekeze majumba kupangisha tu biashara rahisi mijini....awekeze dar zaidii na kwao ingawa majumba hayana pesa nyingi zbar....akiweza kujenga nyumba zake maputo vyumba 6 hata nyumba 5 kuendelea atakula milele.....asiongeze wake sasa mpira utamtokaa
 
kwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele
Mpongeze pia kwa kubeba majini aliyokuwa nayo Mayele
 
Jamaa ana mke mrembo sana

Back
Top Bottom