fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
kwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele