fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nimemuwaza sana week hii ....hasa kwenye kuwekeza nadhani anajielewa mpira huisha azam walimtema akabakia kucheza mdondo zbar.....awekeze majumba kupangisha tu biashara rahisi mijini....awekeze dar zaidii na kwao ingawa majumba hayana pesa nyingi zbar....akiweza kujenga nyumba zake maputo vyumba 6 hata nyumba 5 kuendelea atakula milele.....asiongeze wake sasa mpira utamtokaakwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele
Udhaurii bureeee mpira huisha au kuumia.....wanachoka sana hawa....wachezajiiHadi matumizi ya pesa una mfundisha kama mtoto mdogo?
Mpongeze pia kwa kubeba majini aliyokuwa nayo Mayelekwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele
kwanza hongera sana kwa juhudi zako uwapo uwanjani.ongeza sana bidii kwenye shooting accuracy na stamina ya kukimbia uwanjani,utafika mbali sana.pia nakushauri fedha unazopata usizichezee,jitahidi kuwekeza kwani hutacheza milele