Mudau anawindwa na Burnley

Mudau anawindwa na Burnley

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Klabu ya Burnley Football Club inayoshiriki Ligi Kuu ya England [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ,ikiwa chini ya Vincent Kompany imeonyesha nia ya kunasa saini ya Beki wa kulia wa Mamelodi Sundowns Khuliso Mudau.

Kompany amekuwa shabiki mkubwa wa beki huyu alitaka kuona mwendelezo wake baada msimu uliopita kutwaa tuzo ya beki Bora .

Baada ya kuendelea kuwasha moto msimu huu 2023-2024 Burnley wapo tayari kuvunja beki January Ili kunasa saini yake .

Mudau mwenye umri wa miaka 28 ataenda kukutana na ndugu yake Lyle Foster [emoji1221] ambaye ni mshambuliaji wa kutumainiwa pale Burnley .

Jean Louis Gasset kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ivory Coast [emoji1081] alisema anashangaa kwanini Mudau ana cheza Africa [emoji288] Hadi sasa wakati ana nafasi yake Ulaya .

Kumbuka Percy Tau alitoka Sundowns akatua Brighton misimu kadhaa iliyopita....Hivyo ni kawaida Kwa Mamelodi Sundowns kufanya biashara na timu za EPL. #Sundowns #DStvPrem #afl

Cc Soccer Laduma

#mpekeo_mtandala
1699892932528.jpg
 
Simba tunafeli wapi kumuwin huyu mchezaji hatari [emoji3063][emoji3063]

Mudi vunja kibubu ....Ili tuwapoze makolo na kelele za mangungu
 
Back
Top Bottom