Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Ni akili za kiwaki na kitumwa, majitu kama haya yakihodhi madaraka mjiandae kuibiwa. Akili za kina compaore wa burkinabe alieshirikiana na wazungu kumsnitch na kumuua mwana loyal wa Africa Thomas SankaraAkili za kusema Wazungu wataona hivi aliekuambia wazungu wana msaada na mambo ya hapo Afrika ni nani?