ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
CRAZY BUFFA FT ZAHARANI.. - MUELIMISHAJI..
Masela wote...!! kaeni chocho...!!
Madawa ya kulevya haina ya faida kwako.. ebu sikiliza Eeeh.. huyu ni muelimishaji Eeeh Eeh..!!!
Verse ..1. ( crazy buffa)
Sasa ndugu zangu Eeeh/haya mambo ya kujiuliza/ haya madawa ya kulevya ni Mwanga au Ngiza/ ukisha lewa tu kinachobaki kusizi/ inasikitisha kuona ni wengi wanaotumia/ wachache wanatajirika lakini wengi wana athirika/ Athari tunaziona na wala sio kwa kusikia/ tusichoke kuwasihi na kuwaonya wanae tumia/ matatizo na vishawishi ndio Tatizo la ongezeko/ na wengine hutumia vilevi hukutana na vichengu/ tukizindi kuyachekelea basi jamii itasabalatika/ kwanza wakamatwe wote wanaoingiza madawa/ mfutaji akikosa madawa ni lazima hatayaacha/ cha umuhimu ni kuwatolea macho wote wanaingiza/ bila hivyo ndugu itakuwa sawa na Kazi Bure/ Kwa huu ugumu wa maisha .......... Ndio ule ule/ wafutaji ni wengi na tabaka la vibaka ni kubwa/ na ona wanatumia wanavyozindi kuathirika/ na vitengo vinavyo husika navyo vizindi kuwajibika/ wataalamu wanasaidia wapo nyuma kutuelimisha/ angalia mateja wengi wa uswahilini jinsi walivyo/ mwizi anakutwa kwa jirani kwao ni kitu cha kawaida/ vyakula vyao ni juice , keki au bajia/ madawa ya yana nguvu mwilini huwezi shindia bajia/ unajirostisha mwenyewe ebu acha kutumia/ huwezi kupanga maisha Eeeh come on vumilia Fanya mengine lakini shiiiiiii!!!! Acheni ...
Chorus..

Verse ...2 ( crazy buffa)
Athari za madawa nyingi usipozizingatia utakwisha/ unakosa nguvu ambazo ni kinga ya maisha/ una athirika kiakili ebu ya junie kabisa/ jiajili mwenye sio kwa nguvu ya trekta au kabali/ masela tunakwisha napenga Kwa juu sauti Kwa mbali/ jinsi ya kuyaacha madawa punguza dozi taratibu/ ebukana na makundi yaliojaa vishawishi vingi/ zingatia ushauri unaotolewa na sekta husika / imara pia Educators ni moja Kati ya wahusika/ pokea ushauri wao hakika utajinasua hilo sio janga Dogo inapaswa kuzingatia/ haya yote nimepitia na dalili nazijua / hasa ukiwa na Arosotho mambo fulani hutokea/ hutokwa na machozi machoni puani kamasi kamasi/ huenda resi za wizi na kupinga mihayo Kwa kasi/ ukitaka kuitoa Arosotho uwe na fedha kipindoni/ na kama huna kitu ndio haya tunayoyasema/ umekutana cheni au ............. Nalo umechukua maisha Gani tena hayo familia yote imeku.........achana na madawa ya kulevya yasije kukuchanganya / ni wachache wanaotumia na kufahamu anachokifanya na najua ni vingumu kuyaacha inatupindi tujitahidi na kama hujawahi kuyatumia na kusihi usijaribu weeeh uncle zungu usijaribu weeeh k.c , sure boy niko nawe msijaribu , crazy buffa na wasihi wote msijaribu

Verse ..3 ( zaharani)
Yo! Watu wanaathirika lakini Bado hawajali/ vipi? Mnakosa fikira za kuweza kufikiria mbali/ watu wanapata shida sio siri Bado ni hatari/ mifano mingi tumeona vipi kuhusu tahadhari/ kila siku watu wanaonya ni wagapi wanajali/ nusura hakuna kupona mapema mjihadhari/ maambukizi juu ya sindano watumiaji mjihadhari/ ukimwi nao umeshika pande zote hatari/ vipi sindano mnadunga hamjui kwamba ni hatari/ Tena moja inazunguka masikani tena bila ya tahadhari/nyani ndio kwamba hamjari / au ndio basi ufahari/ Zaharani nini nitasema na hakuna anayejali/ wengi wamekufa masikani kisa wamekosa Gari/ wamekufa KWA kujidunga na madawa ambayo ni hatari/ Ni vipi hauchi starehe Gani hatari/ utumiaji Bado unazindi ifanye nini serikali/ na kuacha watu wakaidi na jela hawajali/ labda ingetekwa sekta nadhani ingekuwa afadhali/ watumiaji wa madawa serikali ingewapa hifadhi/Pindi wanapoacha madawa/ wapewe matuzo safi/ Kazi na Elimu ya kutosha/ Kuhusu utaraji, nadhani wengi wangeacha/ hata wale wasiotaraji .. ..
( katika picha ni msanii zaharani).
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202