G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa #COVID19 10,500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America.
Tutakumbuka kuwa Rais wa Brazil siku chache zilizopita alisema hawezi kuzuia watu wasichangamane ndani ya nchi yake eti kwa sababu ya Corona huku akiamini kuwa kila mtu atakufa siku yake ikifika.