ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Tunachukua hatua za kutosha tatizo ni sis wananchi pia kuna siku nilipanda daladala na bint yangu wa miaka mitatu tumevaa mask raia walikua wanatuchek kidizain kama tunawaletea uchuro watu, watu wakivaa mask wanpokua nje na kunawa kila muda na kuepuka misongomano isiyo na lazima hatuna haja ya lockdown karantini na tracing still ni njia sahihi sana unlessotherwise tutakufa na njaa kama nzige kubwa ya watu wa kusin mwa jangwa la sahara ni day workersThe same catastrophe will befall on us! Time is ticking!