Acha woga wewe toka fanya kazi utakufa njaaWatanzania tunaofanya shughuli binafsi ni bora tukajifungia majumbani mwetu haya yasijekutukuta
Wewe kula kulala!
Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa COVID 19 10500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America
Amesema ndani ya siku tano wame report idadi hiyo ya wagonjwa na vifo, hajasema siku tano tangu ku report mgonjwa wa kwanza.Sijui hizo siku tano unazihesabu vipi. Brazil walireport mgonjwa wa kwanza wa Covid19 tarehe 25 Feb 2020. Ukihesabu tokea hapo mpaka leo ni kama siku 40 hivi. Sasa kusema wamepata hao wagonjwa 10500 ndani ya siku tano ni kupotosha umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe jifungie nyumbani kwako!
Mkuu kaandika kwa kiswahili na siyo kilatini, tatizo ni nini?Sijui hizo siku tano unazihesabu vipi. Brazil walireport mgonjwa wa kwanza wa Covid19 tarehe 25 Feb 2020. Ukihesabu tokea hapo mpaka leo ni kama siku 40 hivi. Sasa kusema wamepata hao wagonjwa 10500 ndani ya siku tano ni kupotosha umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
The same catastrophe will befall on us! Time is ticking!Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa COVID 19 10500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America.
Tutakumbuka kuwa Rais wa Brazil siku chache zilizopita alisema hawezi kuzuia watu wasichangamane ndani ya nchi yake eti kwa sababu ya Corona huku akiamini kuwa kila mtu atakufa siku yake ikifika.
nawaza tu namna nduguzo watakavyo zikwa bila uwepo wako huku wewe ukikoroma kama kuku aliyepaliw na pilipiliJiandae kufa!
The same catastrophe will befall on us! Time is ticking!
Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa #COVID19 10,500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America.
Tutakumbuka kuwa Rais wa Brazil siku chache zilizopita alisema hawezi kuzuia watu wasichangamane ndani ya nchi yake eti kwa sababu ya Corona huku akiamini kuwa kila mtu atakufa siku yake ikifika.
chifyono ule uli?Dogo nishajifungia na dada yako ni zaidi ya wiki sasa maisha yanaendelea poa tu
Uhujumu uchumi unakuhusuWatanzania tunaofanya shughuli binafsi ni bora tukajifungia majumbani mwetu haya yasijekutukuta