Muendelezo wa walioidharau Corona: Brazil nayo yakumbwa na maafa, sasa waanza kujutia

The same catastrophe will befall on us! Time is ticking!
Tunachukua hatua za kutosha tatizo ni sis wananchi pia kuna siku nilipanda daladala na bint yangu wa miaka mitatu tumevaa mask raia walikua wanatuchek kidizain kama tunawaletea uchuro watu, watu wakivaa mask wanpokua nje na kunawa kila muda na kuepuka misongomano isiyo na lazima hatuna haja ya lockdown karantini na tracing still ni njia sahihi sana unlessotherwise tutakufa na njaa kama nzige kubwa ya watu wa kusin mwa jangwa la sahara ni day workers
 
Alafu uanze kufurahi roho yako, jiwe kufeli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kufeli kwa Jiwe furaha ya wengi na ikiwezekana Mungu ampende zaidi tufurahi milele.

Am writing this from deepest part of my heart
 
Kwani korona inaweza kufika chato? Sisi tumejificha chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…