Sley Shabani Rashid
Member
- Dec 25, 2022
- 84
- 111
Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute
UNATAKA EKA NGAPI MKUU??Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute
NakaziaInatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara