Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
- Thread starter
-
- #21
Yaani haijalishi kitu kina ukubwa au udogo kiasi gani kama unaona kimekufaa unakichukua na kama hakifai unakiacha.. Na wema hauozi hata iwe ni punje ya mchangaNi kweli Kabisa nimeona hili
Sahihi KabisaYaani haijalishi kitu kina ukubwa au udogo kiasi gani kama unaona kimekufaa unakichukua na kama hakifai unakiacha.. Na wema hauozi hata iwe ni punje ya mchanga
Watu wamesahau kuenziana kwenye mahusiano... Na ndio siri wazee enzi na enzi wamefanikiwa.. Leo vijana tunatafutiana sababu tu ilimradi kutiana hila!Sahihi Kabisa
Mungu atusaidie kwa kweli maana mahusiano ni changamotoWatu wamesahau kuenziana kwenye mahusiano... Na ndio siri wazee enzi na enzi wamefanikiwa.. Leo vijana tunatafutiana sababu tu ilimradi kutiana hila!
Ni zaidi ya changamoto... Tuombe kheirMungu atusaidie kwa kweli maana mahusiano ni changamoto