Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Tangu saa kumi na dakika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.