Muft mkuu wa waislamu tusaidie kudhibiti misikiti mtaani, uhuru umezidi kwenye vipaza sauti

Rwanda walipiga marufuku makanisa na misikiti kutumia vipaza Sauti Nje
Walichokifanya ni kuzuia matumizi ya vipaza sauti mida watu bado wamelala(adhana ya alfajili). Na makanisa ya kikristo,walokuwa wanapiga miziki hadi saa tano saa nne,mwisho saa mbili
 
Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.

Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.

Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Halafu adhana yanini kwa Karne hii watu wana saa na alarm? Ni ushamba sana.
 
Mimi ni muislamu lakini kuna hoja hapa na tuongee bila kubezana. Hii issue hata nchi za kiarabu zimechukuwa hatua na sio kwa nia mbaya ila wameweka utaratibu. Adhana inakuwa moja tu na sauti iko regulated. Lakini adhana ikiisha tu basi speaker za ndani tu zinawashwa za nje zinazimwa na huu ni utaratibu wa kiungwana. Sisi hapa ni lazima tu copy huu utaratibu sababu ni jambo zuri sana. Lakini pia kwenye makanisa hizi kwaya zisikike ndani tu na mahubiri ndani tu. Tujenge utaratibu mzuri, kumbuka humu mitaani tuna wagonjwa, kuna watoto.
 
"Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like that[emoji23]
Hayo yote si katika uislam bali niwapuuzi fulani wasio jua dini nakuzusha katika dini uislam sio fujo nakukera watu,mfano kama hicho unachokisema kakipo katika usilam.ukishatoa adhana unatulia Kuna ibada nyingi sio kuanza kupiga soga zauongo uongo
 
Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.

Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.

Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Ni haki yao kwa sababu haijaanza leo ipo tangu zama
 
Ile dhana ya kusema kwamba mambo ya dini hayaingiliwi ndyo imetufikisha hapa tulipo.
 
Poleni sana huku kwetu ndio tushazoea mvua ikinyesha alfajiri tu ndio ponapona yetu
 
Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.

Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.

Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Mkuu sio adhna tu zinazokera hata kwaya na walokole we hujawahi kukaa karibu na walokole yaani wanakesha kanisani kama watu wa Bar yaani unalala unasikia TOOOKAAA unajua lbda unafukuzwa kumbe wanaomba usiku mzima asubuhi nzima kelele kutwa na mbaya zaidi hatujui hata hizo lugha wanaongea ni za aina gani..
 
wanfujo ubwa hao haiezekani mm nimelala unaniambia shuka langu ndo sanda yangu shubamiti
 
Mkuu sio adhna tu zinazokera hata kwaya na walokole we hujawahi kukaa karibu na walokole yaani wanakesha kanisani kama watu wa Bar yaani unalala unasikia TOOOKAAA unajua lbda unafukuzwa kumbe wanaomba usiku mzima asubuhi nzima kelele kutwa na mbaya zaidi hatujui hata hizo lugha wanaongea ni za aina gani..
Sasa mi nimesema azana zinakera? Mi ninachokataa ni zile story mtu ameshatoa adhana anaamua kuongea wee hadi basi, sio fea kabisa
 
Haha hizo ni utaratibu mkuu Mufti hana uwezo wa kuzuia mawaidha kaa sababu ni sheria za dini
 
Aseme tu baada ya kutoa azana asubuhi si ruhusa kuanza kuongea ongea, au kama vipi watumie speaker za ndani
 
Hivi ni nchi yetu tu yenye haya mambo au kuna wengine wanafanya. Wanadhani kupigia watu makelele ndio kumjua Mungu.

Sio misikiti tu ,hata makanisa ya kilokole wanakera sana. Wanaanza sijui kwanya saa 11 na wanaweka mziki mkubwa yaani unasikika mtaa mzima.
 
Aseme tu baada ya kutoa azana asubuhi si ruhusa kuanza kuongea ongea, au kama vipi watumie speaker za ndani
Mkuu kinachokukera wewe kuna mwingine kinampa Furaha..
Kwahiyo kumridhisha kila mtu huwa ni vigumu sana..

Kwa mfano akasitisha kumbe kuna watu walikuwa wanapenda hicho kitu..na wenyewe wakaja juu kuomba kirudishwe nao hao tutawaitaje?...

Kuna wakati ukiwa kiongozi lazma uwe unajua kuwa huwezi kumridhisha kila mtu kwa sababu kila mtu aa matakwa yke na mipango yake
Na tunatofautiana texture na maono kwenye almost kila kitu
 
Haha hizo ni utaratibu mkuu Mufti hana uwezo wa kuzuia mawaidha kaa sababu ni sheria za dini
Mawaidha yanatakiwa yasikike kwa walio ndani tu. Mbona kuna misikiti mingi mjini lakini sijawahi sikia hizo kelele. Misikiti ya uswazi ndio ina hayo mambo
 
Mkuu miskiti kuna madhehebu kama kulivyo na wakrito na kila dhehebu lina Taratibu zake..

Na kumbuka zile unazoita kelele ni kabla ya adhana ya pili ni mawaidha ya watu ambao wako nyumbani...
Kulingana na Qurn binadamu tunahitaji kukumbushwa mara kwa mara hili tuweze kuchukua maamuzi mazuri..

Na ndo maana baada ya mawaidha atapiga adhana ya Pili na baadae watu wakishakuja baada ya adhana ya pili huwwzi kusikia tena maana yake watu wataswali na kurudi makwao
 
Back
Top Bottom