Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
😂Mara unasikia "ale kisanola, hii hiii hii kisanola" hujakaa sawa "papa mobimba yeee, papa mobimba yee" watu wanamwaga maunoWalokole too much wanappiga sebene usiku mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Mara unasikia "ale kisanola, hii hiii hii kisanola" hujakaa sawa "papa mobimba yeee, papa mobimba yee" watu wanamwaga maunoWalokole too much wanappiga sebene usiku mzima
Walichokifanya ni kuzuia matumizi ya vipaza sauti mida watu bado wamelala(adhana ya alfajili). Na makanisa ya kikristo,walokuwa wanapiga miziki hadi saa tano saa nne,mwisho saa mbiliRwanda walipiga marufuku makanisa na misikiti kutumia vipaza Sauti Nje
SAWAWalichokifanya ni kuzuia matumizi ya vipaza sauti mida watu bado wamelala(adhana ya alfajili). Na makanisa ya kikristo,walokuwa wanapiga miziki hadi saa tano saa nne,mwisho saa mbili
Halafu adhana yanini kwa Karne hii watu wana saa na alarm? Ni ushamba sana.Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Hayo yote si katika uislam bali niwapuuzi fulani wasio jua dini nakuzusha katika dini uislam sio fujo nakukera watu,mfano kama hicho unachokisema kakipo katika usilam.ukishatoa adhana unatulia Kuna ibada nyingi sio kuanza kupiga soga zauongo uongo"Kitanda ni jeneza, shuka ni sanda, amka muislamu wewe ukaswali, adhabu ya kabri....". And stuffs like that[emoji23]
Ni haki yao kwa sababu haijaanza leo ipo tangu zamaTangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Mkuu sio adhna tu zinazokera hata kwaya na walokole we hujawahi kukaa karibu na walokole yaani wanakesha kanisani kama watu wa Bar yaani unalala unasikia TOOOKAAA unajua lbda unafukuzwa kumbe wanaomba usiku mzima asubuhi nzima kelele kutwa na mbaya zaidi hatujui hata hizo lugha wanaongea ni za aina gani..Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
wanfujo ubwa hao haiezekani mm nimelala unaniambia shuka langu ndo sanda yangu shubamitiTangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Sasa mi nimesema azana zinakera? Mi ninachokataa ni zile story mtu ameshatoa adhana anaamua kuongea wee hadi basi, sio fea kabisaMkuu sio adhna tu zinazokera hata kwaya na walokole we hujawahi kukaa karibu na walokole yaani wanakesha kanisani kama watu wa Bar yaani unalala unasikia TOOOKAAA unajua lbda unafukuzwa kumbe wanaomba usiku mzima asubuhi nzima kelele kutwa na mbaya zaidi hatujui hata hizo lugha wanaongea ni za aina gani..
Haha hizo ni utaratibu mkuu Mufti hana uwezo wa kuzuia mawaidha kaa sababu ni sheria za diniSasa mi nimesema azana zinakera? Mi ninachokataa ni zile story mtu ameshatoa adhana anaamua kuongea wee hadi basi, sio fea kabisa
Maspika yanasaidia kutukumbusha Cha asubuhi.kwa tanzania ni shughuli pevu kuondoa maspika nje ya kupigia watu kelele
Mkuu kinachokukera wewe kuna mwingine kinampa Furaha..Aseme tu baada ya kutoa azana asubuhi si ruhusa kuanza kuongea ongea, au kama vipi watumie speaker za ndani
Mawaidha yanatakiwa yasikike kwa walio ndani tu. Mbona kuna misikiti mingi mjini lakini sijawahi sikia hizo kelele. Misikiti ya uswazi ndio ina hayo mamboHaha hizo ni utaratibu mkuu Mufti hana uwezo wa kuzuia mawaidha kaa sababu ni sheria za dini
Mawaidha yanatakiwa yasikike kwa walio ndani tu. Mbona kuna misikiti mingi mjini lakini sijawahi sikia hizo kelele. Misikiti ya uswazi ndio ina hayo mambo