Mmmmm kazi sanaa.....tuvumilianeTangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Unahaki ya kusikilizwa.....tuombe Viongozi wetu wawe na masikioTangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Waislam wana hasira ma waisrael wa BuguruniTangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
sijawahi kusoma muislam akiwa crash waislam wenzake kwa upuuzi waoBaada ya adhana kuna ibada zinatakiwa kufanyika kabla ya swala, huyo anaefanya kelele ni mvivu wa ibada au hajui anachokifanya, na anawakawaza waumini wenzake pia kwa kuongea kwenye kipaza sauti muda huo.
Tatizo jamii yetu wajinga wengi sana na ndio wanaojipa mamlaka.
kwa tanzania ni shughuli pevu kuondoa maspika nje ya kupigia watu keleleRwanda walipiga marufuku makanisa na misikiti kutumia vipaza Sauti Nje
kelele zisizo na maana zimezidi sana na NEMC inagwaya kuwaambia wahusika waache kupigia watu kelelekwa tanzania ni shughuli pevu kuondoa maspika nje ya kupigia watu kelele
Nyinyi warokole ndo vinara wa kupigia watu kelele.kelele zisizo na maana zimezidi sana na NEMC inagwaya kuwaambia wahusika waache kupigia watu kelele
wale wana hekima walishasikiliza maagizo ya NEMC na wametii maagizo yao. Imebaki nyie waislam ni wabishi na wakaidi hamfuati sheria za nchi kutwa kupigia watu kelele na miazana yenu kwenye maspika makubwa. Kule Rwanda mmeshikishwa adabu hakuna hayo makeleleNyinyi warokole ndo vinara wa kupigia watu kelele.
Vumilia tu kama tunavyovumilia makanisa yenu ya kiroho huku mtaani..Tangu saa kumi na takika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti.
Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker za ndani baada azana.
Kazi tunazozifanya ni tofauti na hata imani zetu ziko tofauti tofauti.
Walokole too much wanappiga sebene usiku mzimaNyinyi warokole ndo vinara wa kupigia watu kelele.