The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kwaiyo akipigwa shule iko pw akipigwa na sheikh ndo mnakuja juu sheikh yupo sawa anapambania dini ya mungu na mungu yupo naye sawa toto lako lichelewe madrasa kwakuangalia tv alafu unataka asipigweKosa lake lipo pale pale hakuna msamaha hapo,tusiendekezee vitendo hivyo kwa kigezo Cha msamaha