Mufti ataka Waislamu kuwekeza katika elimu zaidi

Status
Not open for further replies.
sidhani kama uko sahihi hata kwa asilimia 0.00000000001,! tataizo kubwa ni vipaumbele vyetu na viongozi wetu wa kiislamu! baadala ya kutafuta jinsi ya kuikomboa jamii ya kiislamu kutoka kwenye ujinga tulionao wanakalia mahakama ya kadhi na kutoa matamko tu ya kuwajibu wakristo bila kujua kwamba mda unapote bila kuvuna chochote.

watoto wengi wa kiislamu ukanda wa pwani wazazi wao hawajasoma kwahiyo hawapati msisitizo wa kuipenda elimu tofauti na wenzetu wa upande wapili,! kilichobaki ni watoto kuunda maCAMP ya kucheza kiduku na taarabu, kuimba bongo flavor, kuvaa suruali chini ya makalio na kuweka kambi kwenye beach tu! mda wa shule haupo!

mda wa kuambiana ukweli na sio kuleta siasa za majitaka za udini, bila kuweka effort kwenye shule waislamu tubaki kuwa watu wa kulalama tuuuuuuuuu.
 

Unauhakika na unachokisema kwenye red? Nafahamu kuwa serikali pia ishatahadharishwa na kanisa kutokuwatumia kama "shock absorber". Ni wapi kanisa lilikopiga shule za serikali au taasisi nyingene yeyote? Watanzania tubadilike tuache kuvikimbia vivuli vyetu. Tutafute sababu za msingi za kushindwa kwetu kuanzia nyumbani kabla ya kuhamia kwa wengine
 

Kafanya lipi baya pamoja na elimu yake ndogo.Akijibizana na Maasikofu ambao hawanaga muda wa kujibu nyaraka chochezi nyepesi, roho yako inatuuliia! Elimu ni Uungwana Sheikh mkuu ana talanta na tunu za kuongoza.
 

mawazo yako mazuri kama ya Jen.Twaha Ulimwengu
 

Nakupa marks zoooooooooooote! Nikweli Tukimaliza issue ya Udini tutarudi kwenye Ukabila siimanishi kuwa umelenga ukabila no, ni kwamba shule za Kiislam zinazofanya is vizuri ni zile zinazoongozwa na utawala wa Wakuu wa Shule kutoka kwenye makabila ya Wahaya,Chagga na Wapare.Ukienda Same kuna Kirinjiku mkuu(mpare) na Ubungo Islamic mkuu(mhaya). Kuna tofauti kati ya Uislam wa Pwani na Bara."Even difference is defferent".Sheikh Mkuu achaguliwe kutoka makabila haya.am christian but spy
 
we unaleta umbea.katoro islamic seminary mkoani kagera imekuwa shule ya6 kimkoa na 120 kitaifa.uonevu kwa sasa hakuna ulikuwepo enzi za nyerere

Katoro inaongozwa na Waislam wa Kihaya usiwalinganishe na waislam wengine wa gahawa,Rubare na Butakya mko juu
 
Kiongozi kwa mujibu upi? Kwa wasilamu kila mtu ni kiongozi!
Sasa naanza kuelewa ni kwa nini mnagombana wenyewe, mnapingana wenyewe, mnagombania misikiti wakati ni nyumba za ibada............KUMBE KILA MTU NI KIONGOZI.

Yani kila mtu ni :msela::msela::msela::msela:TUUUUU!!!!
 

Mzee wangu Simba njia sasa umeiona anza kuhamasisha nchi nzima kwa maslahi ya Watanzania na waislamu wote bila kujali kiangazi au masika ikiwa budi waone kina Pengo Malasusa Kakobe Mwingira nk nk wakusaidie kwenye lengo hilo achana na hao wanaowekeza kwenye MATAMKO yasio na tija
Sasa wamebaki hujui kiarabu kwani kiarabu ndio Uislamu? Oh! kaishia darasa la nne Mtume kaisìa la ngapi? we dogo acha unafiki kafir mbaya wewe Walaah jehanam ni makazi yako hutoki humo.
Inshaalah!
 
we unaleta umbea.katoro islamic seminary mkoani kagera imekuwa shule ya6 kimkoa na 120 kitaifa.uonevu kwa sasa hakuna ulikuwepo enzi za nyerere

Kudadadek! kumbe huna hata data Nyerere alituonea sana sisi Wahaya na sio Islams, nyie islamiya mnajionea wenyewe na ulalamishi usokwisha.Nyerere na ukabila wake alihakikisha mhaya awe na marks za juu sana ili aende secondary comparing to our counterparts(education curriculum soon after independence) eti analeta usawa kielimu.Subiri Tamko letu la Wahaya linakuja halina mkono wa dini wala siasa za sewerege,full kuungana.Ulimwengu,Rutashubyambele,Ndimara,Karugendo,Kashaija Butege,Bukyanagandi,Ngurumo,salva Rweyemamu,P.Bagenda etc niunge mkono,tulipwe fidia ya "kutubackwardiness" ICC lazima itutendee haki infakt evidesi zipo,beyond doubt.
 
Alichosema Muft na Sheikh Mkuu ni murjerb na sahihi kabisaa,masuala ya kudeal na personal issues kwenye masuala ya msingi sio. Wanachokosea tu ni kwamba seminary ni shule za kikatoliki tu si za kilutheri,kianglikana au kiislam. Elimu ni muhimu kwa kuwa na Walimu imara...,Good teaching is hardwork and let those who doubt this try to become effective teachers(Nyerere J.K) BIG UP MUFTI kwa kuwaamsha waumini wako.
 

Umesahau hata WAZINZA ni viongozi wazuri,sio ukabila kama ulivyosema lakini kwa wale waliosoma Makoko Seminary wanamjua Fr.Thomas K.Bilingi.
 
naam amezungumzia waislam kuchukua juhudi katika kusoma na sio kuendelea kulalama/

kwa kweli amekuwa jasiri kusema ukweli ambao unatakiwa ufahamike waislamu tuliowengi, kuwa hakuna free lunch

"Huu ni muda mwafaka kwa waislamu kuanza kujikita na kukazania zaidi suala la elimu, na si kubaki kulialia pekee kuomba kuchaguliwa na kupewa vyeo serikalini, hivyo tuchangamke tusiendelee kubaki nyuma tupige hatua kama wenzetu," alisema Mufti.

source: mjengwa.blogspot.com
 
Sasa hapo ndio kulikuwa na mpishano mkubwa.... ila kwakuwa tatizo limeeleweka mambo yatakuwa shwari!!!
 
I like your comments (Mufti and you).
 

Mufti na BAKWATA yake wanajulikana kuwa ni idara mojawapo ktk Serikali iliyoundwa maalum ili kuwasaliti na kuzuia maendeleo ya Waislamu! kama si kweli kwanini Nyerere aliivunja jumuiya ya Waislamu wa Tanzania EAMWA mwaka 1968? na kuunda BAKWATA chini ya ulinzi mkali wa POLISI?
 


japo maneno yake huenda ukawa mwiba mkali kwa wale wenye kupenda kulalamika kila siku, lakini huo ndio ukweli, tusome na kujitahdi kuhimizana halafu tuone kama tutaonewa.

lakini kuhubiri tu bila ya kuchukua hatua ni sawa na kujaza maji kwenye pakacha(gunia)

kwa kweli bila ya kuangalia Bakwata imeanzishwa na nani hili la e;imu lina ukweli
 
tatizo lao wale huwa hawaelewi sana sana watamwona mufti wao kawasaliti
 

Unastahili kushukuriwa
 
tatizo lao wale huwa hawaelewi sana sana watamwona mufti wao kawasaliti


mbona mm ni mwenzao na simuoni kama katusaliti ila katutia hima kuitafuta elimu, kutafuta walimu wazuri kwa shule zetu, kuwalipa vizuri walimu na wazee na waislamu kwa ukumla kujenga maskuli badala ya kujenga misikiti tu, na ajahadharisha ikiwa hamna elimu misikiti itageuzwa maghala ya chakula


nimemfahamu na waislamu tuhimizane juu ya hili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…