Kuna baadhi ya binadamu wamizaliwa na traits za UBISHI na kutaka mambo ya SHARI, traits hizi wakati mwingine zinakuwa acquired wakiwa watoto wadogo kwa kupitia vipindi vya dini vyenye ku-insist kila mara kwamba katika nchi hii baadhi ya madhebu ya dini yanaonewa kila kona na Serikali iliyopo madarakani na mtu ukiwa mtoto mdogo ni rahisi sana kuwa brainwashed na uhongo huu na hukawa embedded kwenye ubongo wako maisha yako yote - basi mtu anajikuta na inbuilt hatred ya madhebu fulani mpaka ukubwani, na hili ndilo tulalo shuhudia HAPA - yaani baadhi yao wako radhi kufungia reasoning capacity zao kwenye kabati inapokuja katika swala hili, wapo radhi kumsema vibaya hata Sheikh wao MKUU, mimi hili linanishangaza sana!
Back to point, mimi kusema kweli huwa namuheshimu sana Sheikh Mkuu huyu kwa busara zake za hali ya juu, hasiti hata siku moja au kuhuma huma maneno eti aogope kusema ukweli kuhusu kitu gani hasa huwa kinawasibu wasilaam wenzake, amesema wazi wazi na hapa namunukuu " Jamani eh, tujitahidi kupata elimu dunia kama wenzetu, tupunguze kujenga misikiti badala yake tujenge mashule, zahanati na mambo mengine ya maendeleo mwisho Mzee wa busara huyu GODBLESS him - anawashauri wenzake bila woga kwamba " Wasiwe wanakuwa WALALAMISHI"
Busara hii pia anayo Raisi mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi, nilikuwa namsikiliza zamani akitoa wito huo huo unaotolewa na Sheikh Mkuu wa sasa kwa Waislaam wenzake, na tusije tukadhani kwamba kwenye kipindi chake cha uongozi watu wenye shari za kidini hawakuwepo, walikuwepo sana lakini Mzee Mwinyi alikuwa anajuwa jinsi ya kuwa-contain, na tulikuwa na amani kusema kweli.
Sasa hivi shari hii ya kidini anelekea kulipuka kama sunami, sasa tujiulize why? Je kuna watu wanawashurutisha kufanya mambo haya kwa manufaa ya nani HASA. Mimi Baba mdogo wangu alikuwa mwislaam pure wakati alipo kuwa anakuja kututembelea alikuwa anakuja na sufuri zake, sahani zake na vijiko; ukisema jamani mbona hivi tena! anakwambia vyombo vyetu labda tilipikia nguruwe - sisi tulikuwa tunaona ni kichekesho lakini tulimuheshimu kama ndugu yetu, mwisho alikuwa ananiambia kila siku kwamba dini ya Kislaam ni dini ya AMANI - sasa najiuliza hivi baadhi ya wenzetu hivi sasa wameingiliwa na mdudu gani jamani.
Natoa RAI kwa baadhi ya wenzetu hawa kwamba NCHI hii ikivurugika kutokana na mambo ya udini na ukosefu wa busara, hakuna ambaye atabaki SALAMA tusije tukajidanganya hapa, ukiona watu fulani wanakuwa na GUTS za kusema eti Sheikh Mkuu ni mbumbumbu/ hajasoma, sijuhi hajuhi Kiarabu! Mbona kuna Korani zimeandikwa kwenye Kingereza na lugha nyingine, kauli za kukubehi Viongozi wa dini walichaguliwa na wahumini ni hatari SANA. Mimi sishagahi Mzee Huyu kuchaguliwa kuwa Sheikh Mkuu you don't need to be a ROCKET Scientist kujuwa kwamba ni mtu mwenye BUSARA SANA, oh yes ana akili za kuzaliwa; kuchaguliwa kwake kuwa Sheikh Mkuu hakukuwa kwa bahati mbaya, inawabidi kushirikiana naye badala ya kumzuria na kumuita majina ya kila aina, hii inaleta picha mbaya.
HUO NDIO MCHANGO WANGU, kama unaweza kuwafanya baadhi watu wenye SHARI waka-see REASON mbona Ntamshukuru sana MUNGU kwa hilo.