Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda maasi.

Hata hivyo mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa ni sababu ya ongezeko la joto, mvua zisizotabirika pamoja na ukame. Mufti ameyasema hayo leo Jumamosi Novemba 5, 2022 alipokuwa akiongoza dua maalum ya maadhimisho ya miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).

“Tunapoomba mvua tuendelee kuacha maasi na mambo mengine yasiyofaa, watu waache dhuluma, mambo mabaya yanayosababisha sisi Mwenyezi Mungu atunyime mvua,” amesema Mufti Zuberi. Amesema tayari viongozi wa dini wameanza kuomba dua kwa ajili ya kuiombea mvua.

“Mwenyezi Mungu atuletee mvua yenye kheri isiyo na maafa kwetu Tanzania na nchi zingine zilizopakana na sisi. Tunajipanga kuomba dua kwa Watanzania kwa ujumla na wenzetu wengine watafanya dua siku ya Jumatatu.

“Wananchi wote kila mmoja kwa nafasi yake aombe dua ili tupate mvua isiyo na maafa tushirikiane katika kumuomba Mwenyezi Mungu hii itakaribisha baraka na itatuondoshea huu wasiwasi viongozi wote wa dini, mashekhe wote tushirikiane,” amesema Mufti Zubeir.

Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Denis Bwigira amesema Mungu amejalia vitu vingi vya asili binadamu aweze kuvitumia kwa akili lakini wakati huu kwa pamoja viongozi wa dini wapo katika kuomba kwa sala makanisa yote.

“Naamini kutakua na maombi ya kitaifa. Tanzania tuna utajiri mkubwa wa maji ardhini na kwenye maziwa tumuombe Mungu atuzidishie uwezo wa kiteknolojia tuvute maji yaliyopo ardhiri tunaamini Mwenyezi Mungu hawezi kutuacha tuangamie kwa kiu,” amesema na kuongeza;

“Tunaamini tutapata maji ya kutosha na hii itukumbushe tunapo mtumainia Mwenyezi Mungu kuna njia za kujiwekea imani ya kuwa makini kwa majanga mbalimbali.”

Sala hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa taasisi za tiba pamoja na viongozi wa kidini ambao kwa pamoja wameitaka taasisi hiyo kuendelea kutoa huduma kwa upendo, na kufuata maadili ya utumishi wa umma.

MWANANCHI
 
Madhara unayoona leo yaliongelewa sana na watu wa mazingira lakini wakadharauliwa, watu wanakata misitu wanapanda mazao, moshi wa viwanda

Rate ya deforestation ni 10 million hectares per day

Kila mwaka sehemu ukubwa wa Portugal linakatwa miti

Kiwango cha bafafu kuyeyuka kinaongezeka, kina cha maji baharini kinaongezeka, ocean currents zinabadilika

Haya ni matokeo ya uharibifu wa muda mrefu,

mvua zipo lakini majira yamebadilika. Inaweza kunyesha mvua kubwa moja ikaharibu na isirudi tena.

Bado kuna vichwa maji watakuambia tumuombe Mungu, Mungu anahusikaje?
 
Kama wale watumishi wa Mungu wa Mbeya wanavyoenda barabarani kuomba ajali zipungue, hivi waliwahi kufanikiwa kwenye hilo?
 
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda maasi.

Hata hivyo mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa ni sababu ya ongezeko la joto, mvua zisizotabirika pamoja na ukame. Mufti ameyasema hayo leo Jumamosi Novemba 5, 2022 alipokuwa akiongoza dua maalum ya maadhimisho ya miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).

“Tunapoomba mvua tuendelee kuacha maasi na mambo mengine yasiyofaa, watu waache dhuluma, mambo mabaya yanayosababisha sisi Mwenyezi Mungu atunyime mvua,” amesema Mufti Zuberi. Amesema tayari viongozi wa dini wameanza kuomba dua kwa ajili ya kuiombea mvua.

“Mwenyezi Mungu atuletee mvua yenye kheri isiyo na maafa kwetu Tanzania na nchi zingine zilizopakana na sisi. Tunajipanga kuomba dua kwa Watanzania kwa ujumla na wenzetu wengine watafanya dua siku ya Jumatatu.

“Wananchi wote kila mmoja kwa nafasi yake aombe dua ili tupate mvua isiyo na maafa tushirikiane katika kumuomba Mwenyezi Mungu hii itakaribisha baraka na itatuondoshea huu wasiwasi viongozi wote wa dini, mashekhe wote tushirikiane,” amesema Mufti Zubeir.

Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Denis Bwigira amesema Mungu amejalia vitu vingi vya asili binadamu aweze kuvitumia kwa akili lakini wakati huu kwa pamoja viongozi wa dini wapo katika kuomba kwa sala makanisa yote.

“Naamini kutakua na maombi ya kitaifa. Tanzania tuna utajiri mkubwa wa maji ardhini na kwenye maziwa tumuombe Mungu atuzidishie uwezo wa kiteknolojia tuvute maji yaliyopo ardhiri tunaamini Mwenyezi Mungu hawezi kutuacha tuangamie kwa kiu,” amesema na kuongeza;

“Tunaamini tutapata maji ya kutosha na hii itukumbushe tunapo mtumainia Mwenyezi Mungu kuna njia za kujiwekea imani ya kuwa makini kwa majanga mbalimbali.”

Sala hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa taasisi za tiba pamoja na viongozi wa kidini ambao kwa pamoja wameitaka taasisi hiyo kuendelea kutoa huduma kwa upendo, na kufuata maadili ya utumishi wa umma.

MWANANCHI
Tupunguze sisi au na yeye na team yake na Bakwata? Mwenyezi Mungu anawapa anaowataka na huwanyima anaowataka labda hajui hili na zaidi tumekosa maarifa. Huko UK hata makanisani hawaendi wako busy kumpromote ushoga na wanapata mvua mpaka wanaichukia nchi yao kwa mvua. Angesema tutunzeni mazingira tuache kukata miti ningemwelewa asilete ujinga wake punguzeni dhambi, kina nani hao? hawa viongozi wengine hata hujui walipataje nafasi hizi.
 
Kama wale watumishi wa Mungu wa Mbeya wanavyoenda barabarani kuomba ajali zipungue, hivi waliwahi kufanikiwa kwenye hilo?
Hawana lolote, Mungu ametupa akili ukifanya hiki madhara yake ni haya

Ni sawa na wale wanaofanya mapenzi wanapata mimba wanaenda kutoa sadaka, sasa sijui walitaka wapate nini.
 
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda maasi.

Hata hivyo mabadiliko ya tabianchi yanatajwa kuwa ni sababu ya ongezeko la joto, mvua zisizotabirika pamoja na ukame. Mufti ameyasema hayo leo Jumamosi Novemba 5, 2022 alipokuwa akiongoza dua maalum ya maadhimisho ya miaka 26 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).

“Tunapoomba mvua tuendelee kuacha maasi na mambo mengine yasiyofaa, watu waache dhuluma, mambo mabaya yanayosababisha sisi Mwenyezi Mungu atunyime mvua,” amesema Mufti Zuberi. Amesema tayari viongozi wa dini wameanza kuomba dua kwa ajili ya kuiombea mvua.

“Mwenyezi Mungu atuletee mvua yenye kheri isiyo na maafa kwetu Tanzania na nchi zingine zilizopakana na sisi. Tunajipanga kuomba dua kwa Watanzania kwa ujumla na wenzetu wengine watafanya dua siku ya Jumatatu.

“Wananchi wote kila mmoja kwa nafasi yake aombe dua ili tupate mvua isiyo na maafa tushirikiane katika kumuomba Mwenyezi Mungu hii itakaribisha baraka na itatuondoshea huu wasiwasi viongozi wote wa dini, mashekhe wote tushirikiane,” amesema Mufti Zubeir.

Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Denis Bwigira amesema Mungu amejalia vitu vingi vya asili binadamu aweze kuvitumia kwa akili lakini wakati huu kwa pamoja viongozi wa dini wapo katika kuomba kwa sala makanisa yote.

“Naamini kutakua na maombi ya kitaifa. Tanzania tuna utajiri mkubwa wa maji ardhini na kwenye maziwa tumuombe Mungu atuzidishie uwezo wa kiteknolojia tuvute maji yaliyopo ardhiri tunaamini Mwenyezi Mungu hawezi kutuacha tuangamie kwa kiu,” amesema na kuongeza;

“Tunaamini tutapata maji ya kutosha na hii itukumbushe tunapo mtumainia Mwenyezi Mungu kuna njia za kujiwekea imani ya kuwa makini kwa majanga mbalimbali.”

Sala hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa taasisi za tiba pamoja na viongozi wa kidini ambao kwa pamoja wameitaka taasisi hiyo kuendelea kutoa huduma kwa upendo, na kufuata maadili ya utumishi wa umma.

MWANANCHI
Nchi ina Mito, maziwa na Visima vya maji kwanini munakosa Maji jamani? Nenda Dubai Hakuna mito wala Maziwa lakini sijawahi kusikia kuwa Dubai kuna upungufu wa maji hata siku moja. Miundo mbinu mingi munayo bado munategemea maji ya Mvua jamani lohh? Wa-Tanzania Wazembe kweli muna haki Mungu awape ukame mupate akili ya kutumia.
 
Kuna kiongozi aliyekuwa kila mara anamtanguliza Mungu Mbele..

Wakati fulani akawahimiza wananchi wake wamlilie Mungu kwa maombi wapate mvua.. wakati mwingine akahimiza wananchi wake wamlilie Mungu na kumwomba apishilie mbali janga la Uviko19.. kila mmoja kwa imani yake.. wengine walisali misikitini.. wengine makanisani.. wengine kwenye masinagogi.. wengine uwanja wa Benjamin Mkapa.. wengine pale Tanganyika pekazi.. na kadhalika.. nchi nzima ikarindima kwa maombi.

Sasa kwa kuwa tumeharibu mazingira na vyanzo vya maji kiasi cha kukosekana mvua za misimu kama ilivyokuwa desturi miaka iliyopita.. nadhani hatuna budi KUMLILIA MUNGU ATUSAMEHE MAKOSA YETU, ATUHURUMIE ATUPE MVUA YA KIASI wakati tunajadili na kuweka mikakati ya kuboresha mazingira ya nchi.. kwenye maeneo yote yaliyoharibiwa kwa shughuli za kibinadamu
 
Wadada wa nyumba za kupanga wanatabu sana,sijui lini wataacha tabia ya kukojoa kwenye ndoo,leo hii usiku nimetoka na ndoo nikajua maji yamerudi.pumnavuuuu sana 😂😂😂😂
 
Pelekeni watoto shule akili zifanye kazi.

Huyo mufti hajui misimu ya hii nchi? Sahivi ni muda wa jua kali na ukame. Miaka nenda rudi.

November ni muda wa joto kali nchi zilizo chini ya jangwa la sahara.

Isitoshe, magufuli alikata miti 2M huko rufiji, unategemea nini?
 
Kama madhara ya dhambi yalikuwepo kitambo ...ila kunchukiza mungu zaidi na kuleta maafa ni unafiki ,unaweza jikuta unajifanya mtu wa dini ila behind unafanya ushezi kama mufti wetu hujui dhambi za bongo ni viongozi kuwa wezi, mapadre na mashekhe kulawiti madogo hizo ndo dhambi iz nyingine hazina noma maana wanaofanya sio wanafiki .
 
Back
Top Bottom