Mufti Mkuu awataka Waislamu wote kuombea sensa

Mufti Mkuu awataka Waislamu wote kuombea sensa

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Mufti mkuu wa Tanzania amewataka waislamu kuiombea sensa leo ijumaa.

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewataka waumini wa Kiislam kote nchini kuitumia Ijumaa ya kesho Agosti 19, 2022 kuomba dua maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa na kuiombea siku ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu.

1.PNG
 
Kuna Uonevu, unyanyasaji na wizi unafanywa kwa watanzania, ila wao viongozi wa dini wanatazama tu!
 
Back
Top Bottom