President of China JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 34,781 Reaction score 94,550 Dec 1, 2025 #1 Sisi wapenda amani yetu haya hapa: View: https://youtu.be/xAT7JC7WHwE?si=bFUzvnPFGj7vY30G
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 15,096 Reaction score 8,914 Dec 1, 2025 #2 Amani gani wakati hapo hata kukosoa tu serikali yako unaogopa unaweza ukatekwa, sasa hapo una amani au utulivu tu?
Amani gani wakati hapo hata kukosoa tu serikali yako unaogopa unaweza ukatekwa, sasa hapo una amani au utulivu tu?
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Dec 1, 2025 #3 Venus Star said: Sisi wapenda amani yetu haya hapa: View: https://youtu.be/xAT7JC7WHwE?si=bFUzvnPFGj7vY30G Click to expand... Haya yatakuja kumnufaisha nani kama walengwa wanauawa au kupotezwa na Serikali kila uchao?
Venus Star said: Sisi wapenda amani yetu haya hapa: View: https://youtu.be/xAT7JC7WHwE?si=bFUzvnPFGj7vY30G Click to expand... Haya yatakuja kumnufaisha nani kama walengwa wanauawa au kupotezwa na Serikali kila uchao?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Dec 1, 2025 #4 Aiseeeeeee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 2, 2025 #6 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw