PostGE2025 Mufti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery: Tuache Maneno ya Uchonganishi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na yaliyogusa Mioyo ya watanzania.

Embu Soma hapo 👉Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zuber ameviomba vikundi mbalimbali kutoka kwenye dini zote viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko na uchonganishi kwa wafuasi wa dini zao.

Mufti Zuberi ameyasema hayo wakati akitoa tamko lake mbele ya vyombo vya habari jijini Dar es salaam ambapo amewaomba Viongozi wa vikundi vya Kidini waache malumbano ya kidini, badala yake wahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi amani na utulivu.

“Mimi kama kiongozi Mkuu wa dini ya Kiislam naviomba vikundi vya dini zote, viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko kwa wafuasi wao pamoja na wa dini nyingine, na waache malumbano ya kidini, badala yake yahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi yetu amani na utulivu.”

Aidha Mufti Zuber amesisitiza ya kuwa vitabu vya Mungu vya dini ya Kiislamu vinawataka kuishi na watu wote kwa wema “Mungu ametuambia kwamba hatukatazwi sisi kuishi na wasiokuwa Waislam kwa wema na kwa kuwa hayo ndio maisha ambayo tumechaguliwa na Mungu kuishi na kwa kuzingatia moja ya mambo ambayo tumekubaliana kuwa maisha ya watu ni lazima yalindwe kwa gharama yoyote.”

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251207-180157_1.jpg
 
Huyo shekhe pamoja na wewe wote ni chawa vilaza waandamizi.

Anashindwa kuwakemea mashekhe vilaza wenzake analeta blah blah hapa.

Huyo kilaza mnayemtetea anawatengenezeeni laana kwa vizazi vyenu.
Naona hujielewi na wala huelewi hata ulichokiandika.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na yaliyogusa Mioyo ya watanzania.

Embu Soma hapo 👉Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zuber ameviomba vikundi mbalimbali kutoka kwenye dini zote viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko na uchonganishi kwa wafuasi wa dini zao.

Mufti Zuberi ameyasema hayo wakati akitoa tamko lake mbele ya vyombo vya habari jijini Dar es salaam ambapo amewaomba Viongozi wa vikundi vya Kidini waache malumbano ya kidini, badala yake wahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi amani na utulivu.

“Mimi kama kiongozi Mkuu wa dini ya Kiislam naviomba vikundi vya dini zote, viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko kwa wafuasi wao pamoja na wa dini nyingine, na waache malumbano ya kidini, badala yake yahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi yetu amani na utulivu.”

Aidha Mufti Zuber amesisitiza ya kuwa vitabu vya Mungu vya dini ya Kiislamu vinawataka kuishi na watu wote kwa wema “Mungu ametuambia kwamba hatukatazwi sisi kuishi na wasiokuwa Waislam kwa wema na kwa kuwa hayo ndio maisha ambayo tumechaguliwa na Mungu kuishi na kwa kuzingatia moja ya mambo ambayo tumekubaliana kuwa maisha ya watu ni lazima yalindwe kwa gharama yoyote.”

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3512718
Atlwast amekemea japomuwa sio kwa Upana nilioutamani, japokuwa sisemi muft afanye mambo kwa namna ninavyotamani ila angetilia mkazo mkali zaidi kwenye hapo matamko ya uchingsnishi hasa kwa sisi waisilamu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na yaliyogusa Mioyo ya watanzania.

Embu Soma hapo 👉Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zuber ameviomba vikundi mbalimbali kutoka kwenye dini zote viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko na uchonganishi kwa wafuasi wa dini zao.

Mufti Zuberi ameyasema hayo wakati akitoa tamko lake mbele ya vyombo vya habari jijini Dar es salaam ambapo amewaomba Viongozi wa vikundi vya Kidini waache malumbano ya kidini, badala yake wahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi amani na utulivu.

“Mimi kama kiongozi Mkuu wa dini ya Kiislam naviomba vikundi vya dini zote, viache kutoa matamshi ambayo yataleta mhemko kwa wafuasi wao pamoja na wa dini nyingine, na waache malumbano ya kidini, badala yake yahamasishe wafuasi wao kuiombea nchi yetu amani na utulivu.”

Aidha Mufti Zuber amesisitiza ya kuwa vitabu vya Mungu vya dini ya Kiislamu vinawataka kuishi na watu wote kwa wema “Mungu ametuambia kwamba hatukatazwi sisi kuishi na wasiokuwa Waislam kwa wema na kwa kuwa hayo ndio maisha ambayo tumechaguliwa na Mungu kuishi na kwa kuzingatia moja ya mambo ambayo tumekubaliana kuwa maisha ya watu ni lazima yalindwe kwa gharama yoyote.”

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3512718
Haki kwanza, hiyo amani ya wachache huku wengine wakitekwa, wakifirwa kwa kubakwa na kuuawa wabaki nayo wenyewe huko. Hao ndugu zake katika imani wanaotaka kushika mapanga kuchinja Gen Z mbona hajalaani direct(calling spade a spade not a big spoon) kauli za kuchinjana.
Mufti ni chawa na BAKWATA ni jumuia ya CCM hivyo hapo anaongea maneno ya chama chake cha CCM.
 
Naona hujielewi na wala huelewi hata ulichokiandika.
Kwa mujibu wa yuke shekhe mkata vichwa unadhani wewe uko salama? Wewe si wanakuona kafiri tu, hakuna mtu aliyekuja na ajenda za udini zaidi ya hao machawa wenzako. Tec wamedili na issues tu specific zenye agenda ya ustawi wa nchi na taifa, hawajalumbana na yeyote na hawajawahi kujibu chochote pamoja na kuchokozwa ili wajibu agenda muflisi hizi.
 
Back
Top Bottom