Kalunguyeye
Member
- Jan 30, 2009
- 49
- 0
wewe mkristo inakuhusu nini?
Unajuaje walichokosa kwenye mahakama mama?
wapeni haki zao what is the issue here?
Ndg Tumain embu tupeni basi hayo wanayokosa ktka mahakama mama nasi tujue mana tupo gizani tuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mkristo inakuhusu nini?
Unajuaje walichokosa kwenye mahakama mama?
wapeni haki zao what is the issue here?
Haya matatizo siyo ya waislamu wa kulaumiwa ni CCM.Ikumbukwe viongozi wakristo wa CCM ndiyo walioandaa ilani hiyo akiwemo Benjamin Mkapa,Philip Mangula na KIngunge Ngombale Mwiru.Na vilevile ni mkristo mwingine Bernard Membe akachokoza OIC.Kwa kuangalia mwenendo wa viongozi hawa ni vyema kabla ya kulaumu viongozi wa BAKWATA wahojiwe kwa nini waliingiza vitu controversial kinyume cha katiba waliyoapa kuilinda?Nao wakristo waungane kuanzisha "mahakama zao kiroho ndani ya katiba"?Nchi hii itakuwaje?anyway siwalaumu ndugu zangu Waislam maana CCM na serikali yake iliwahaidi jambo hili na hata ikawekwa kwenye ilani yao ya uchaguzi,maskini haweakujua kama wanatapeliwa ili watoe kura kama ambavyo ahadi nyingi hewa zilizotolewa!
Bytheway lkn Waislam hawajachambua wazi wanakosa kitu gani kwenye sheria mama zilizopo tz hivi sasa hadi wanapigania mahakama ya kadhi?watapata ni ni ikianzishwa mahakama ya kadhi ambacho sasa hawapati?
Sikonge,
Msimamo wangu ni ule ule haujabadilika.. Sikubaliani na mahakama ya kadhi toka siku ya kwanza, ila kuna sheria za kiislaam ktk maswala ya madai zinaweza kutumika kwa faida ya wanawake na watoto hasa tukizingatia kwamba wenye imani na Uislaam na Asilia huoa wake zaidi ya mmoja na kuza watoto wasiokuwa na hesabu ktk ndoa tofauti wakati mmoja..
Tunaweza jenga sheria ya kati inayovuta mazuri ya Uislaam yakatumika kwa wale wenye kufuata misingi ya kiislaam ama kiasili..Na huu sio mwisho tunaweza vuta mengine toka nje ya Uislaam pale panapohitajika suluhu inayoppingana na Uislaam lakini wananchi waislaam wanaitumia dhidi ya wanawake na watoto kinyume cha mafundisho ya dini yoyote ile.. Hapa tunatafuta middle ground, kila kitu hakiwezi kuwa black or White ni muhimu kutazama lia gray areas ambazo zinatujumuisha sote kama society moja..
Swala la DNA sio solution, Muislaam unaweza kumlea mtoto sii wake na akawa mwanao na mwenye haki sawa na watoto wako bila maandishi...kuna mambo mengi sana mkuu wangu ambayo siwezi ku cover yote..Kumbuka hadi sasa hivi tunavyozungumza hatuna sheria moja ktk maswala mazito ya madai hasa mirathi na haki za wanawake..Mara nyingi tunafuata sheria za nchi za magharibi ambazo zinakumbatia zaidi Ukristu na ndio maana waislaam wamejkuja na hoja hii ya mahakama ya kadhi..
Mimi sikubaliani nayo kwa sababu Siii waislaam wala Wakristu wanafuata sheria za dini yao ktk matendo yao. Kuwahukumu ni kuwaonea, inatakiwa kwanza tuweze kuwa na mpango madhubuti wa ndoa hizi na nafasi ya watoto ktk familia moja kisha hapo ndipo tunaweza kujenga solution inayoweza kutumika ikiwa tatizo moja limetokea..Hawa masheikh ndio wanaotuharibu kisha leo wanataka kutuletea mahakama ambayo ni ulaji kwao..They care less about religion na mafundisho yake.
Hatuwezi kujenga sheria moja mahakamani hata kidogo kwa sababu katiba yetu haina mtu mmoja ktk maswala haya, inatakiwa ku cover sisi sote pamoja na imani zetu hivyo solution itatokana na ndoa hiyo liyofungwa.. iwe mke mmoja, wawili, wanne, vimada na kadhalika..
Sheria za kiislaam pekee haziwezi kuondoa adha na matatizo ya waislaam ikiwa chanzo cha matatizo haya ni waislaam au niseme viongozi wenyewe wa dini..
Unazungumzia mambo mabaya ambayo Nyerere aliwafanyia Waislamu?
.
Kama noma naiwe noma potelea mbali na ivunjike amani.
.
MUFTI UKO SAWA
.
Katika hili umewaunganisha waislam. Hii ndio bakwata
Inayo hitajiwa na waislam.
Bakwata hawana ubavu huo wanabwaka tu, wao wenyewe credibility yao ni questionable wasafishe nyumba yao kwanza.
Hawana jipya zaidi ya kutafuta njia ya kutokea na kuficha madudu yao. Ni ukweli usio na shaka uislam haupo kitaasisi kama ukristo na madhehebu yake catholics, Lutheran, Anglican nk. Bakwata ni kikundi cha wajanja wachache wasio na mandate yeyote kwa waislam ndio maana no body is taking them serious.
kama kipi?Kwa ufupi CCM inaendelea kushikwa pabaya maana kila wanapojaribu kuziba kunatoboka na kuvuja kwengine.
Inaelekea wanapoteza wapiga kura kwenye mambo yahusuyo Muungano,Ufisadi na sasa waiislamu wenye siasa kali bado wakiristu wenye siasa kali naona wao bado wanajikurubisha kwa kila hali ,wakiristu amkeni wacheni kuikumbatia CCM ,vyama mbadala vimejaa tele ahadi za CCM zitawatoa vibega.
There are two things in our job. Criticism i accept with respect. Disrespect i dont accept and dont respect" - Arsene Wenger.
Mkuu, mimi nimeuliza maswali machache tu mpaka sasa sijajibiwa. Napenda kujua kwanini serikali iwajibike katika suala la mahakama ya kadhi. Kwanini waislam wenyewe wasiianzishe ili iwasaidie kutimiza lengo la kiibada? Kwanini lihusishwe na maisha ya wasio waislam (katiba)?Wanaopinga mahakama ya kadhi wanapinga kitu wasichokijua, hii ni dangerous, na kwa kweli wamekurupuka kupinga.
Mahakama hii ilikuwapo hapa (Tanganyika) wakati wa ukoloni na baada ya uhuru, lakini ilifutwa wakati wa awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi hii bila sababu wala maelezo. Zanzibar bado ipo. Mahakama hizi zipo pia mahala pengi duniani tena ktk nchi nyingine ambazo siyo za kiislamu e.g. Kenya, Uganda, U.K. etc..hivi huko mahakama hizi zimeleta maafa gani au wakristo wa huko siyo wakristo kama wa Tanzania?
Tuache jazba na uchochezi wa kidini na tufanye utafiti kabla ya kupinga kitu tusichokijua halafu kikatuletea balaa katika taifa letu. Wapeni wanachotaka waislamu na wengine pia wapewe wakitaka ili tuishi salama, there is no big deal here.
Unataka wawe upande gani acha uzushi wewe?Waseme Watakuwa Upande gani?? Tunataka waseme watakuwa upande gani??