Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini
wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022.

Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
 
HV ikitikea kabsa haujaonekana itakuwaje mbele Zaid sikubtano
 
Naomba nisaidiwe kuelewa hapa

Hisani ya www.google.com

How long does the moon take to complete one orbit revolution around the earth

This movement is from the Moon's orbit, which takes 27 days, 7 hours and 43 minutes to go full circle. It causes the Moon to move 12–13 degrees east every day. This shift means Earth has to rotate a little longer to bring the Moon into view, which is why moonrise is about 50 minutes later each day.

Inakuwa second sight of the moon kwa maana ya muandamo wa pili wa kumaliza Ramadhani ina count 30 days toka ile ya kwanza ambayo Ramadhani ilianza?
 
Usisahau kwamba CCM inaongozwa na low mind Samia unayemsifiaga

Kwa hiyo kama unamkataa shetani (CCM) kataa na fahari zake zote (including raisi wa bahati mbaya Bi. Mikopo)
Aiseee!
 
Ila ndo vizuri sikukuu iwe juma4 na juma 5 ila Mimi nishamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…